Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

Watu wasiojulikana wamewaua watoto wawili,mmoja akiwa ni binti wa kazi wa Diwani wa CCM kata ya Mkingamo wilaya Momba mkoani Mbeya.

Chanzo cha mauaji inasemekana ni dhuluma ya viwanja kwa wananchi wa kawaida.

Habari zaidi zinasema kawadhurumu wananchi viwanja vingi sana,wakati mwingine huuza kiwanja kimoja kwa zaidi ya watu watatu.
Inasemekana hata ukimpeleka mahakamani anakushinda kesi,kifupi ni kuwa mahakama aliiweka mfukoni.

kwa Momba ardhi haijafika huko huyo diwani ana lake jambo na wananchi wake na iweje mdhulumaji aendelee kuishi na adhabu wapewe watoto? nadhani wahusika watafutwe kwa udi na uvumba na waondoke
 
Kwanini mnashabikia mambo ya kijinga nyie machadema. Hivi watoto kuuwawa mnaona na jambo la kushangilia?
 
dawa ya moto ni moto lkn wamekosea kuuwa watoto wangemua huyo huyo diwan haki ya mtu hailiki kitaeleweka tu!
 
kabla hata sijafungua uzi huu nilijua chanzo itakuwa dhuluma tu ! Madiwani karibu wote wa ccm hiyo ndiyo kazi wanayoifanya .
 
Kwanini mnashabikia mambo ya kijinga nyie machadema. Hivi watoto kuuwawa mnaona na jambo la kushangilia?

nani kashabikia mjomba ? Wote tunasikitika kwamba , kwanini hao washika dau wasimshughulikie mh diwani ?
 
duh nguvu ya umma sasa inaamua kuchukua mkondo wake, lazima wengine watajifunza kupitia hao wenzao wanaochinjwa maana wananchi tumechoka mahakamani wanatushinda na tukichelewa watatuua wao kwa hiyo tunajilinda sisi pamoja na mali zetu
Ivi unaposema nguvu ya uma, ktk vifo hivi vya watoto unamanisha nini usilete uchochezi zaidi hapa. huyo muhudumu wa nyumbani nae baba na mama zake ambao wanalia hivi sasa nao ni wapora ardhi?
 
Huko ndiko chadema wanakotupeleka

Nawatakia kila la heri polisi watakaofanya operesheni kamata kamata huko mbeya

NAWAOMBA POLISI WASIACHE HATA JIWE MOJA BILA KULIGEUZA.

PIGA KAMATA FUNGA, ndio dawa

Unaisikia Mbeya! Ile ni nchi na Sugu ndo rais.
 
Huko ndiko chadema wanakotupeleka

Nawatakia kila la heri polisi watakaofanya operesheni kamata kamata huko mbeya

NAWAOMBA POLISI WASIACHE HATA JIWE MOJA BILA KULIGEUZA.

PIGA KAMATA FUNGA, ndio dawa
ukakasi kwenye ubongo wako utawla dhaifu hutokana na chama dhaifu na huendesha serikali legelege wananchi wamechoka kuonewa na koo saba za CCM zenye mali zote za nchi muhongo amema waliomega mapande makubwa ya ardhi ni MACCM
 
This is madness, unawezaje kuua watoto wasio na hatia?
 
Ni dhambi sana kuuwa watoto wasio na hatia jamani. Bora wangemtokomeza diwani mwenyewe but kwa mtu asiye na kosa ni dhambi sana inauma sana
 
So sad, watoto wadogo wanbebeshwa mzigo wa mzazi. this is beyond political rivalry. there is something behind the scene..
 
jamani wanacccm acheni dhuluma mtaangamia wote watanzania wameshachoka chama chakavu r.i.p
 
Too much. Watoto wanahusika vipi na kosa la baba?
CCM tatizo sawa! ila mtoto wa miaka sita wala matatizo yasababishwayo na babake hayajui
 
Back
Top Bottom