Uchaguzi 2020 Mbeya: Watawa wamsimamisha Dkt. Magufuli na kumuombea baraka

Uchaguzi 2020 Mbeya: Watawa wamsimamisha Dkt. Magufuli na kumuombea baraka

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2007
Posts
2,903
Reaction score
1,360

Ila wamesahau haya:
Mathayo 6:5 NEN
“Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia, wao wamekwisha kupata thawabu yao.
Ingekuwa vyema wangemuita kwenye convent na kusali huko.
 
Hivi kweli hao Ma sista watakuwa na imani na Askofu Gwajima....??
Hivi kweli CCM hawakuwa wanajuwa Askofu Gwajima alimkashifu Polcap Pengo...??
Alitaka au anataka badilisha Madrasa kuwa makanisa
WA TANZANIA TUUKATE UBAGUZI WA DINI,KABILA NA VYAMA...tuendelee kudumisha UDUGU wetu
 
Huku ni kuinajisi dini na kumkufuru Mungu!!! Hivi kama hawa ni watu wa Mungu kweli inakuwaje wanamuombea mtu aliyefanya binadamu mwenzake amiminiwe risasi 16 hadi amepata ulemavu hawezi kutembea vizuri??? Hivi wakiona ulemavu wa Tundu Lissu wanajiskiaje hawa???

Mie ni makatoliki na nasema hiki kinachofanywa na hawa masista ni kumkejeli Mungu. Hawa ni wachawi!! Huwezi kumuombea Mtu katili na mwenye roho mbaya tena mbele ya camera!!
 
Mbona sijaona walivyoanza kusimamisha msafara?
 
Back
Top Bottom