Don Nzoko
JF-Expert Member
- Jan 6, 2020
- 308
- 306
wa
wanafiki tu hao,aiseeeee mpk nao wanapangwa kazi ipo
Ila wamesahau haya:
Mathayo 6:5 NEN
“Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia, wao wamekwisha kupata thawabu yao.
Ingekuwa vyema wangemuita kwenye convent na kusali huko.