Uchaguzi 2020 Mbeya: Watawa wamsimamisha Dkt. Magufuli na kumuombea baraka

Uchaguzi 2020 Mbeya: Watawa wamsimamisha Dkt. Magufuli na kumuombea baraka

Ila wamesahau haya:
Mathayo 6:5 NEN
“Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia, wao wamekwisha kupata thawabu yao.
Ingekuwa vyema wangemuita kwenye convent na kusali huko.

Sala sa wanafiki hazifiki popote. Hata wangekesha.i
 
Ila wamesahau haya:
Mathayo 6:5 NEN
“Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia, wao wamekwisha kupata thawabu yao.
Ingekuwa vyema wangemuita kwenye convent na kusali huko.

Mathayo 18:20 BHN
"Kwa maana popote pale wanapokusanyika wawili au watatu kwa jina langu, mimi nipo hapo kati yao.”
 
Yaani Meko baada ya kuona Lissu anaombewa na raia wema kila apitapo njiani na yeye kakarupuka mbio katafuta kikundi chake cha maigizo ya maombi.

Ni hivi wew Kibabu sikia, Mungu hadhihakiwi chochote apandacho Mtu ndicho atakacho Vunaa. Uonevu sasa baathiii.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Ila wamesahau haya:
Mathayo 6:5 NEN
“Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia, wao wamekwisha kupata thawabu yao.
Ingekuwa vyema wangemuita kwenye convent na kusali huko.
Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia, wao wamekwisha kupata thawabu yao.
Ingekuwa vyema wangemuita kwenye convent na kusali huko.
 
Nani kakudanganya kuwa ukatoliki ni jina?
.D
Inaelekea hujui ukatoliki ni nini wewe!
Cha kwanza ni jina la ubatizo Lisu sio jina. La ubatizo alikibadili akalikana jina la ubatizo la mtakatifu akajipa la kipagani kukana jina la mtakatifu na kujipa la kipagani ni dharau kuu kwa ukatoliki
 
Kwann hajapigwa mabomu!!!??? kwani alikuwa na ratiba ya kuhutubia hapa??

Dah!! ,yani umegusa mule mule.Wapiga Mabomu na alie agiza Mabomu yaanze kupigwa hawezi kukujibu hili Swali zaidi ya kuweka Mikono nyuma ya Makalio.
 
Kama kweli ni masista wanaotambuliwa na kanisa katoliki kuna shida mahala.

Ila sio wazee tunasema hicho ni kikundi cha UWT kimefanya igizo.
 
Back
Top Bottom