Uchaguzi 2020 Mbeya: Watawa wamsimamisha Dkt. Magufuli na kumuombea baraka


 

Attachments

  • VID-20200929-WA0015.mp4
    901.4 KB
Magufuli msanii

Hii haisaidii maana na Lissu naye ni mkatoliki mwenzie, Safari hii Ile advantage ya ukatoliki na machinery ya wakatoliki haimnufaishi kivile.

Kama akiendelea na michezo hii ya kutumia dini, Lissu akienda kwenye mikoa ya waislamu wengi amlipue kwa waislamu jinsi alivyowatenga kwenye teuzi uje uone kama moto haujamuwakia!
 
JPM mtu wa Mungu,maombi ya watawa huwa yanajibiwa fasta sana.
JPM mitano tena.
 
Hao hao,unafikiri nini.kimewasukuma,wameandaliwa,siyo Burr,njaa tu.kama.RAIA wengine,huto tumisalaba.nato ni pesa ili tutengenezwe na watupate
Kwahiyo unaamini serikali inalisaidia kanisa katoliki financially?
 
Kwann hajapigwa mabomu!!!??? kwani alikuwa na ratiba ya kuhutubia hapa??
 
Magufuli ni msanii kweli. Ila Bado ni the best candidate.
#Mafufuli5tena
 
Huo ujumbe ulionukuu unamhusu hata Mwamakula na Bagonza pia?
 
Safi kabisa!

Hao masister na wengine wote wenye akili kiimani hawawezi kuliunga mkoni lile wakala la magasho
 
Wafanye hivyo na kwa wagombea wengine. Au ndio wameshachagua upande kama shirika la masista? Shame on them; na viongozi wote wa dini wanaochagua upande fulani.
Nyie si mnae Bagonza na Mwamakula.?
 
Hapo wanamuombea Magu au Gwajima?

Gwajima na Pengo wameahamalizana juzi au hukuona picha zilisambaa kila kona?
 
Mungu siyo Bagonza wala Amsterdam!

Ndio maana wewe pamoja na midhambi yako unanyeshewa mvua kiwango kilekile pamoja wa wasio na dhambi
 
Hoja yako ni ya kijinga!

Hivi Mwamakula na Bagonza huwa huwaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…