wanafiki tu hao,aiseeeee mpk nao wanapangwa kazi ipo
Ila wamesahau haya:
Mathayo 6:5 NEN
“Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia, wao wamekwisha kupata thawabu yao.
Ingekuwa vyema wangemuita kwenye convent na kusali huko.
Usihukumu usije hukumiwa!Magufuli hajawahi kuwa mchamungu
Magu siku hizi anawalisha watawa? 😂 hayo mashirika mengine yameanzishwa miaka hadi ya 650 AD niumri mkubwa kuzidi karibu nchi zote duniani .. tanzania 🇹🇿 ilizaliwa 1964 leo awalishe hao jamaa kweli?Wananjaa,watakula.wapi....
Hakuna kitu hapo, Mungu gani wa kusikiliza uaji hilo? Yalikuwa yameandaa tukio!
Ila wamesahau haya:
Mathayo 6:5 NEN
“Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia, wao wamekwisha kupata thawabu yao.
Ingekuwa vyema wangemuita kwenye convent na kusali huko.
Watawa wapumbavu kabisa hawa!! Huyu mtu hapaswi hata kuwa kiongozi wa familia . Ni mbaguzi na muuaji mkubwa na wa wazi kabisa, hawa watakuwa wanamwabudu shetani na wala sio Mungu aliye haihao watawa uchwara wanalijua hili. huyu ana tofauti fani na shetani wanayempinga?
Uchaguzi 2020 - Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma
Ila wamesahau haya:
Mathayo 6:5 NEN
“Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia, wao wamekwisha kupata thawabu yao.
Ingekuwa vyema wangemuita kwenye convent na kusali huko.
NAONA KANISA LANGU KATOLIKI LINAENDELEA NA UNAFIKI WA HALI YA JUU.
Ila wamesahau haya:
Mathayo 6:5 NEN
“Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia, wao wamekwisha kupata thawabu yao.
Ingekuwa vyema wangemuita kwenye convent na kusali huko.
Watawa wanakulana wenyewe kwa wenyewe, haki ya kusikilizwa na Mungu waitoe wapi
Ila wamesahau haya:
Mathayo 6:5 NEN
“Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia, wao wamekwisha kupata thawabu yao.
Ingekuwa vyema wangemuita kwenye convent na kusali huko.
Hawa ni hatari sana, wanajificha tuNukuu imepatiwa mfano stahiki.
Maombi ya mtu mnafiki hata akeshe akiomba Mungu sio kwamba hayapokei bali hata hayamfikiiKabisa,!
Mungu ni yeye yule jana leo na hata milele!
Siyo Bagonza au Amsterdam kwamba wanachagua pa kuegemea.
Magufuli hajawahi kuwa mchamungu