Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Taifa la Tanzania liko nyuma yenu mawakili wasomi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amenTaifa la Tanzania liko nyuma yenu mawakili wasomi.
wakili Mwabukusi kwamba; Waheshimiwa majaji, Katika kesi ya Day care Vs. Commercial bank Tanzania Ltd ukurasa wa 10 par 2 mstari wa pili. Kunamaneno yanasema. Ili mkataba kuwa na nguvu ya kisheria: free consent of the part, competent to contract and lawful consideration. Kwakua DP WORLD sio competent by virtue of Section 2,10,11(1] of the law of contract. Tunaomba muone kwamba mkataba huu unakosa sifa za kisheria. Na kukosekana kwa issue hizo kunathibitisha mkataba huu ni batili. Its void abuinitial.amen
Hawa mawakili wenu watawamaliza kama Prof. Mruma alivyoimaliza Tanzania huo ICSIDTaifa la Tanzania liko nyuma yenu mawakili wasomi.
Waite chochote what matters ni yale waliyokubaliana na dubai. Mambo ya kudhuru sovereignty ya nchi ni kinyume na katiba na sheria ya nchi.Mdude mawakili wako wote wamekubali hakuna mkataba; kwa maana hiyo serikali iko sahihi kwa kusema kilichopo ni makubaliano
Mwabukusi ni nomawakili Mwabukusi kwamba; Waheshimiwa majaji, Katika kesi ya Day care Vs. Commercial bank Tanzania Ltd ukurasa wa 10 par 2 mstari wa pili. Kunamaneno yanasema. Ili mkataba kuwa na nguvu ya kisheria: free consent of the part, competent to contract and lawful consideration. Kwakua DP WORLD sio competent by virtue of Section 2,10,11(1] of the law of contract. Tunaomba muone kwamba mkataba huu unakosa sifa za kisheria. Na kukosekana kwa issue hizo kunathibitisha mkataba huu ni batili. Its void abuinitial.
Kweli Mwambukusi ni noma kamaliza kesi kwa kuthibitisha kuwa IGA siyo mkataba kwa mjibu wa sheria. Bandari walisema hivyo; mwanasheria mkuu wa serikali alisema hivyo; wizara ya ujenzi ilisema hivyo; na bunge lilisema hivyo kilichpo ni makubalianoMwabukusi ni noma
Kwa ajili ya mikataba mibovu.....akadhalilika na Taifa likadhalilika.......tuache kutetea mikataba mibovu.Hawa mawakili wenu watawamaliza kama Prof. Mruma alivyoimaliza Tanzania huo ICSID
#Update KESI YA BANDARI.
Ndiyo maana alisema Waziri na Waziri mkuu wanasema wamepitisha makubaliano lakini bungeni hansard zinaonesha ni mkataba.Kweli Mwambukusi ni noma kamaliza kesi kwa kuthibitisha kuwa IGA siyo mkataba kwa mjibu wa sheria. Bandari walisema hivyo; mwanasheria mkuu wa serikali alisema hivyo; wizara ya ujenzi ilisema hivyo; na bunge lilisema hivyo kilichpo ni makubaliano
Ukitumia busara utagundua uhuru Ambao Mhe. Rais ametoa kwa watu wake. Hatahivyo kwa busara hiyo hiyo utagundua Mhe.Rais atakavyoiacha huru Mahakama. Ni wakati wa kumuacha Mama afuatilie mwenyewe. Na sisi tujifunze toka kwa wasomi wetu huko Mbeya.Mama acheze kwa akili ajishushe tu akubali aibu anayoweza kuifuta kwa kushusha gharama za mabando.
Hii ngoma ikipita wakiilazimisha ipitr Rais atakuwa kajiweka danger zone.
Inaweza kuleta mwamko zaidi wa watu kujiita watanganyika na kuchukiana na wazanzibari, hapa iwe isiwe rais ajae akitokea huku basi wazanzibar wajiandae kupewa dawa chungu hawajawahi kunyweshwa.
Nadhani, kwa maoni yangu issue ya kwanza ni JE IGA NI MKATABA AU NI MAKUBALIANO?Ndiyo maana alisema Waziri na Waziri mkuu wanasema wamepitisha makubaliano lakini bungeni hansard zinaonesha ni mkataba.
At the same time Bunge halina mamlaka ya kujadili MoU.
Kuipata logic ya hawa mawakili unahitaji ku_stretch ubongo kidogo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nadhani, kwa maoni yangu issue ya kwanza ni JE IGA NI MKATABA AU NI MAKUBALIANO?
Utakuwa na shida ya akili wewe.Wanajaribu kuleta injili mahakamani😂
Upuuzi mtupu.Utakuwa na shida ya akili wewe.
Au kujipendekeza.
Rais hatishwi kwa maneno ya JF ni cheo kikubwa sana.Mama acheze kwa akili ajishushe tu akubali aibu anayoweza kuifuta kwa kushusha gharama za mabando.
Hii ngoma ikipita wakiilazimisha ipitr Rais atakuwa kajiweka danger zone.
Inaweza kuleta mwamko zaidi wa watu kujiita watanganyika na kuchukiana na wazanzibari, hapa iwe isiwe rais ajae akitokea huku basi wazanzibar wajiandae kupewa dawa chungu hawajawahi kunyweshwa.