Mbeya: Yaliyojiri katika Kesi ya kupinga mkataba wa Bandari na DP WORLD - Julai 26, 2023

upuuzi mtupu.
mawakili hawana kazi za kufanya.
wanadhani unaarufu unapatikana kirahisi hivi!?
Mwabukusi alishindwa na Mwakibete na kwa sasa yupo kwenye kampeni za kutafuta tena jimbo. Yote anayofanya mpaka kutukana viongozi wa nchi ni kampeni aliyoanza kabla ya muda.
 
Mkuu

Baada ya update ya siku husika uwe unaweka chini yake link ya update ya siku iliyotangulia ili mwendelezo uende sawia kwa wananchi kufuatilia
 
Nadhani, kwa maoni yangu issue ya kwanza ni JE IGA NI MKATABA AU NI MAKUBALIANO?
Ukisoma vizuri utaona kwamba mawakili wa serikali wamekubali kwamba ni Mkataba na hivyo kama ni Mkataba basi si Mkataba halali. Mawakili wa serikali wamekwepa mtego wa Ibara 63(3)(e) inayolitaka Bunge lijadili mkataba na si vinginevyo.
 
Na huu ndiyo mtego aliowekewa na wahafidhina wa CCM na kuna kila dalili kuwa amenasa. Vikao vya siri vya wahafidhina sasa ni vya kumuandaa mgombea wao 2025.
 
Mwabukusi alishindwa na Mwakibete na kwa sasa yupo kwenye kampeni za kutafuta tena jimbo. Yote anayofanya mpaka kutukana viongozi wa nchi ni kampeni aliyoanza kabla ya muda.
Wakili Mwambukusi anatafuta uteuzi CHADEMA na kesi kufunguliwa Mbeya lengo lake ni kuanza mapema kampeni dhidi ya Tulia
 
Ukisoma vizuri utaona kwamba mawakili wa serikali wamekubali kwamba ni Mkataba na hivyo kama ni Mkataba basi si Mkataba halali. Mawakili wa serikali wamekwepa mtego wa Ibara 63(3)(e) inayolitaka Bunge lijadili mkataba na si vinginevyo.
Wamesema ni mkataba kwa mjibu wa sheria za kimataifa
 
Mdude_Nyagali aione hii
 
Tunasubiri Serikali halafu tupime urefu wa kina
 
watu wa aina hii hata JF inao wajibu wa kuwatambua kwa mchango wao wa kipekee wanaoufanya kwa jamii.

Hata ' special mention or recognition' tu inatia moyo.
 
Jina alilolichagua ndo linamponza, lakini yeye ni mtu smart
 
Tulijua mwambukusi ni mtu anaye tafuta riziki
 
Unafahamu kinachojadiiwa hapo Mahakaman???? Maccm bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…