Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

Mkazi wa Mbezi Beach aliyejulikana kwa jina moja la Tina anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya aliyekuwa mpenzi wake

Kelvin ametajwa kuwa aliachana na Tina na kuwa na mwanamke mwingine na kuendelea kuishi naye Mbezi Beach Bondeni

Tina amedaiwa kuingia kwenye nyumba ya Kelvin kwa kuruka ukuta alivyoma alishindwa kutoka hivyo akaomba msaada kwa kupiga kelele
 
Mungu fundi aisee alitaka kuchoma halafu asepe...boya kweli huyu...haya sasa kesi inamsubiri
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila baharia mwenzetu amekosea sana maana makubaliano yetu ilikuwa kuwachoma wakiwa ndani ya nyumba tena usiku wa manane ili kupisha harakati zingine za kutoroka na kupoteza ushahidi
[emoji44][emoji44] ndo mlivyo kubaliana!!

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Sema hawq viumbe ndo maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili
 
Wanawake mwaka wenu huu

Ndo mana tunashangaa mbona petroli imepanda bei kumbe wanawake mkiongozwa na yule anayesafiri kila muda mna jambo lenu.
 
Back
Top Bottom