Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

.

Screenshot_20210726-172319_Instagram.jpg
 
Huyu baharia amefanya usaliti [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amekiuka taratibu.
Mwaka huu ni moto tuu hakuna kingine ni moto tuu
 
Mwanamke wa kikurya amechoma nyumba ya aliyekuwa mwanaume wake mkazi wa mbezi Beach kwa komba kwa sababu ya wivu wa kimapenzi.

Tukio hili lilitekelezwa wakati mwanaume huyo alipokuwa ameenda kazini. Wananchi alofanikiwa kumkamata mtuhumiwa na hivi ninavyoandika mtuhumiwa huyu amefikishwa polisi.

Jamani mkiachwa achikeni, mkitemwa kubalini kutemeka.

-----
Msichana aliyejulikana kwa jina la Tina mkazi wa eneo la Mbezi Beach, Jijini Dar es Salaam amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya anayedaiwa kuwa alikuwa mpenzi wake aitwaye kwa jina moja la Kelvin mkazi wa Mbezi Bondeni.

MBEZI HAKUNA WAKURYA - ATAKUWA MCHAGA TU.
 
Back
Top Bottom