Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

Mwanamke wa kikurya amechoma nyumba ya aliyekuwa mwanaume wake mkazi wa mbezi Beach kwa komba kwa sababu ya wivu wa kimapenzi.

Tukio hili lilitekelezwa wakati mwanaume huyo alipokuwa ameenda kazini. Wananchi alofanikiwa kumkamata mtuhumiwa na hivi ninavyoandika mtuhumiwa huyu amefikishwa polisi.

Jamani mkiachwa achikeni, mkitemwa kubalini kutemeka.

-----
Msichana aliyejulikana kwa jina la Tina mkazi wa eneo la Mbezi Beach, Jijini Dar es Salaam amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya anayedaiwa kuwa alikuwa mpenzi wake aitwaye kwa jina moja la Kelvin mkazi wa Mbezi Bondeni.

Huyo siyo wewe na mjomba wako?
 
Huyo siyo wewe na mjomba wako?
We nae... me habari za kuchomana myoto sizizimii sana, me adhabu ntayompa ni kumpa mechi ya hasira na ya kupania yenye maandalizi kama ya fungate kiasi kwamba anabaki njia panda hajielewi.....yeye mwenyewe kila akitaka kunisahau ananipigia tu...
 
Apelekwe Milembe sio Jela.
Hilo ni tatizo la akili sio jinai. Tanzania jela wamejaa watu wenye matatizo ya akili kwa kuwa hatuna wataalam wa Saikolojia wa kutosha na waliopo wanazungumzia mapenzi na ngono tu kina Mauki n.k
 
Inawezekana mwanume alimfundisha kuvuta bangi, mwanamke inawezekana bado anendelea kuvuta wakati bwana kaacha,
 
Hello, Brenda. I want to play a game. An officer will try to save you. If he is successful, then your game begins. This man will use these photos to sentence you for your crimes and the only way to stop him is taped underneath the TV. Let him save you and accept your fate to rot in prison, or kill him and guarantee your freedom. Make your choice.
SAW

Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
 
Wakurya nao wameamka siku hizi. nilijua wachagga tu.
πš πšŠπš”πšžπš›πš’πšŠ πš—πšπš˜ πš πšŽπš—πš’πšŽπš πšŽ. πš πšŒπš‘πšŠπšπšπšŠ πš πšŠπš”πšŠπšœπš˜πš–πšŽ.
 
Back
Top Bottom