Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila baharia mwenzetu amekosea sana maana makubaliano yetu ilikuwa kuwachoma wakiwa ndani ya nyumba tena usiku wa manane ili kupisha harakati zingine za kutoroka na kupoteza ushahidi
Ametuangusha sana katika hili.
 
Wanaume wenyewe tupo wachache ila bado mnataka kutupunguza.. lol
 
Wameona hakuna namna bora watufanye ndafu tu?
 
Tunapeana tu taarifa si kwa ubaya!

Ni hivi mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la TINA (kabila tunalihifadhi) kaamua kuchoma nyumba anayoishi mpenzi wake!

Msisahau pendekezo la kuifanya kimara na mbezi kuwa kanda maalum ya mapenzi ya kibabe!
View attachment 1869232
Halafu ana mabega wakawaka
 
Wachagga acheni kuwabambika jamaa zetu Wakurya Matukio. Wakati wa Korroso anajitwanga Risasi mkaleta inshu ya Wambura wa Sinza oooh naye anatishia watu Bastora.
Leo mmekuta na Mkurya hewa wa Mbezi kuchoma nyumba ili azibe aibu ya NEEMA MUSHI kumchoma Dogo Zungu.

Naona wiki ijayo mtakuja na FWAMBA la CHACHA kumtapeli Waziri wa Ardhi akijifanya Katibu Mwenezi wa CCM. Waaacheni Wakurya wapumue jamani
Hivi Yule aliyekuwa Mama na Watoto wawili huko Masaki ni Kabila Gani? La Kuua ni Kabila basi na Yule houseboy katili ni Mchaga?
s
 
Mwanamke wa kikurya amechoma nyumba ya aliyekuwa mwanaume wake mkazi wa mbezi Beach kwa komba kwa sababu ya wivu wa kimapenzi.

Tukio hili lilitekelezwa wakati mwanaume huyo alipokuwa ameenda kazini. Wananchi alofanikiwa kumkamata mtuhumiwa na hivi ninavyoandika mtuhumiwa huyu amefikishwa polisi.

Jamani mkiachwa achikeni, mkitemwa kubalini kutemeka.

-----
Msichana aliyejulikana kwa jina la Tina mkazi wa eneo la Mbezi Beach, Jijini Dar es Salaam amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya anayedaiwa kuwa alikuwa mpenzi wake aitwaye kwa jina moja la Kelvin mkazi wa Mbezi Bondeni.

Imekuwa fasheni sasa
 
Kuna mmoja wa kihaya leo amenambia yule aliyechoma Moto makabe ana akili sana ... nimemwangalia nikajua huyu mmmh
 
Somo la kununua fire extinguisher nadhani halikueleweka.

Ila huyo Mkurya lazima mama yake atakua mchaga.

Siku hizi ukipiga tukio tu lazima tujue kabila lako.
 
Back
Top Bottom