Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani


Fita ni Fita Muraaa TINA wa Kanda Maalum.
 
Huyu aangaliwe, anaweza adhamilie kujimaliza mwenyewe...
Bwana kakosa, revenge imesanuka...
Ni hopeless..
 
We nae... me habari za kuchomana myoto sizizimii sana, me adhabu ntayompa ni kumpa mechi ya hasira na ya kupania yenye maandalizi kama ya fungate kiasi kwamba anabaki njia panda hajielewi.....yeye mwenyewe kila akitaka kunisahau ananipigia tu...
Haya Ndio Mambo Sasa Bibie
 
Nashauri somo la matumizi ya fire extinguisher lianze mara moja kwa watoto wa kiume kuanzia miaka saba.

Wanaume tutakwisha kwa style hii, wamama wamecharuka.
 
Wakurya kazini hata yule Grace wa makabe huenda ana unasaba na Wakurya
 
Madhara ya kupenda mno ukisalitiwa ni kuchukua uamuzi mbaya kulipiza kisasi
 
Madhara ya kupenda mno ukisalitiwa ni kuchukua uamuzi mbaya kulipiza kisasi
 
Kwasasa wanaume tupo hatarini,kumuacha mtu ni kosa la kuhatarisha maisha na mali.
 
Hiyo nayo ni nyumba au kibanda cha kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…