Uchaguzi 2020 Mbezi beach Vs Mtoni Kijichi | Chagua CCM upate maendeleo chagua upinzani uendelee kusota

Kama mnajitambua ndio mtabak hivyo hivyo
 
Na bado sababu watashinda tena. Wanaoisoma zaidi ni wale wanaochagua wapinzani
Upinzani si huwa wanaambiwa na wakubwa wao wasishirikiane na ccm..ndii hata bungeni miaka kumi ya jk na miaka mitano ya magu hawajawahi kuunga mkono hoja yoyote kulingana na kauli ya spika wa bunge.
 

Tangu uhuru ni ccm
So kama tunasota basi ni sababu ya ccm sio upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…