Mbezi Beach wamekosaje lami? Mbona Mbweni, Manzese na Yombo kuna lami?

Mfano Mbweni yuko SSH
 
Mbezi beach nilisikia lie barabara ya JK Nyerere inawekwa rami. Not sure though, maana mambo ya Tz hayaeleweki. Inategemea mtawala ameamkaje.
 
Huko hivi kuna nani maana ukweli nyumba kali maghorofa barabara vumbi. Mvua ikinyesha ndio utafikiri kuna mtu ana ugomvi na watu wa mbezi beach.
 
Mbezi beach mitaa yote haiwezi kupigwa lami mzee,kutokana na ujenzi na miundo mbinu watu walivyojenga

Ova
 
Huko hivi kuna nani maana ukweli nyumba kali maghorofa barabara vumbi. Mvua ikinyesha ndio utafikiri kuna mtu ana ugomvi na watu wa mbezi beach.
Hivi huko sahv kuna mfumo wa maji taka kuelekea baharini?

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…