Mbezi Beach wamekosaje lami? Mbona Mbweni, Manzese na Yombo kuna lami?

Mbezi Beach wamekosaje lami? Mbona Mbweni, Manzese na Yombo kuna lami?

Magufuli alipanga Kuweka Lami mbezi yote na kuweka mfumo wa Maji Taka...Eneo lilikua kijengwe pale Kilomgawima la kupokea maji taka..Posta pia ilikua ifumuliwe yote...Sasa sujui nn kunaendelea...
Mbona tayari pesa zimetoka nadhani wanatafuta mkandarasi sasa
 
Mbezi beach hawana mfumo wa maji taka ,watu huko hufaulisha maji taka
Kwenye mifereji nje
Ukipita usiku mitaani ukisikia sauti ya pump ujue kuna shuuguli hapo

Ova
Unaongelea mbezi beach ipi?
Tanzania ukiondoa Kariakoo na Posta hakuna sehemu kuna mfumo wa maji taka.

Na kwa Mbezi Beach huo mfumo unajengwa kuanzia mwakani
 
Unaongelea mbezi beach ipi?
Tanzania ukiondoa Kariakoo na Posta hakuna sehemu kuna mfumo wa maji taka.

Na kwa Mbezi Beach huo mfumo unajengwa kuanzia mwakani
Mbezi hata wajengevMtaro kama river nile wataendelea kupigwa na mafuriko kila wakati Wengi wamejenga Mtoni na mabondeni
 
Huwa mnapenda kudandia vitu msivyovijuwa na kumpachika mtu sofa asizostahili.

Mradi wa DMDP ni kazi ya Malaya Kikwete pamoja na daraja la Mfugale, ila utekelezaji umeangukia awamu ya tano.

Huu ujinga ndio mtasababisha watu wang'ang'anie Madaraka kwa kisingizio cha kumaliza kazi walizozianza, huu ujinga Magufuli na machawa wake walishauanza.

Mimi ni mjumbe wa project ya DMDP mtaani kwangu tulichaguliwa Kikwete akiwa Rais, hunidanganyi lolote kuhusu mradivwa DMDP.

Tena world bank wasingesimamia wenyewe hii miradi yao ungesikia imehamishiwa Chato.
Punguza povu...kwaio na Maji ya Dawsco nayo mi mradi wa DMDP?...kuna mitaa ilifanywa na DMDP na kuna mitaaa ilifanywa na Tarura...acha kumix hisia zako na uhalisia.
Sisi chuma kilituletea maji na barabara...wewe kaa na ujumbe wako wa mchogo, with your low self esteem, seeking approval inayokufanya uhisi ukisema ulikua mjumbe watu watakuamini.
 
Kuna watu hawaijui Mbezi beach kabisa.
Huyu anaongelea ka kipande tu
Maana mbezi beach yote kutoka Main Road hadi baharini haifiki 800m

Hapo naongelea kuanzia Shabaha, Bucha Nzuri, Kwa Lukuvi, Sekondari, Kanisa Road, Kona ya Kwa Apson kwa Mwinyi

Pote huko mafuriko sijayaona.

Huwa yatokea tu Daraja la Jangwani shule msingi, Daraja kwa Apson, Daraja kuu kujaa maji.

Na mafuriko anayoongelea ni ya ile mvua kubwa ya 2011 iliyokata hayo madaraja, kisha ikarudia tena Awamu ya 5
 
Imesaidia kuyapa hadhi kidogo baadhi ya maeneo
Lakini usitafute logic sana katika hilo yalikuwa ni maono ya mtawala
Leo ujenzi aina hiyo hautaendelea lakini hayo mafungu hayataonekana pia kwamba yameelekezwa wapi kwa hiyo haikuwa mbaya

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kichwa kimebeba Matope.Maono gani wakati ni pesa za mkopo wa WB via mradi wa DMDP 1? Kuanzia mwakani mwezi June DMDP 2 inaanza Sasa sijui kama itafika huko.kwa mtoa mada maana Kuna zaidi ya Bil.800
 
Hajui kuwa DMDP wanafanya kazi chini ya Tarura
Kuna barabara zipo chini ya Tarura na kuna barabara zipo chini ya DMDP...nenda Ukonga Mombasa barabara ya kwenda Moshi bar uangalie kibao ya ujenzi kinasemaje...
Huu ujuaji muache, sio barabara zote za mitaa zimejengwa na DMDP.
 
Kuna barabara zipo chini ya Tarura na kuna barabara zipo chini ya DMDP...nenda Ukonga Mombasa barabara ya kwenda Moshi bar uangalie kibao ya ujenzi kinasemaje...
Huu ujuaji muache, sio barabara zote za mitaa zimejengwa na DMDP.
DMDP yeye anashughulika na ujenzi tu ila maintenance hufanywa na Tarura.

Hata tender hutolewa na Tarura.

Barabara zinazojengwa na Tarura bajeti yake sio ya WB
 
Back
Top Bottom