instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Mara ya Mwisho kwenda Mbweni ni lini....Masaki ina lami miaka mingi mkuu kutokana na hadhi yake...
Mbweni nayo lami haipo kila mahali bali barabara muhimu tu kama ilivyo kwa Mbezi Beach...
Pia kwa Dar kuna maeneo lami zinapelekwa kutokana na uwepo wa kiongozi au viongozi fulani...reference zipo nyingi tu
Hapa Dar hakuna mitaa yenye Barabara nzr na zenye quality kama Mbweni...
Hiyo Masaki yenye barabara zake zina viraka na madimbwi hatari