Mbezi Beach wamekosaje lami? Mbona Mbweni, Manzese na Yombo kuna lami?

Mbezi Beach wamekosaje lami? Mbona Mbweni, Manzese na Yombo kuna lami?

Kwa Taarifa ndugu mtoa mada kama ulikuwa ufahamu Rami zinaanza kujengwa mbezi beach ya chini na njia kuu za kupandisha Mbezi juu
 
Uneongea vizuri mkuu,nilienda Mbezi beach kule kwa Zenna kuna makorongo kabsaa...ila majumba ni ya kifahari kuuliza nikaambiwa wanaoishi huko wala hawana shida na lami...hali ikizidi wao wananunua tu magari yenye uwezo wakupita kwenye njia zenye shuruba kama hizo.
Mbona barabara zimechongwa kuanzia Kanisa Road hadi Kidimbwi

Shoppers imewekwa lami kabisa

Colonel Mitha imechongwa na kuwekwa lami mshenzi
 
Anaingilia Ununuo anatokea Magengeni🤣🤣🤣

Kabisa anaingia njia zote akitokea Ununio anaingia Jeshini Ndege Beach anaikamata barabara ya kwanza kisha hadi kwake Mbweni Beach then akitoka akipita darajani pale anakuja kutokea round about anaikamata Boko Magengeni.

Vigogo wamejipakulia minyama.

Cc: Bushmamy
 
Kabisa anaingia njia zote akitokea Ununio anaingia Jeshini Ndege Beach anaikamata barabara ya kwanza kisha hadi kwake Mbweni Beach then akitoka akipita darajani pale anakuja kutokea round about anaikamata Boko Magengeni.

Vigogo wamejipakulia minyama.

Cc: Bushmamy
Minyama steki tupu.

Wakati wa Magu alijenga nyumba ya wastani, jamaa alipoenda zake akavunja akajenga ghorofa🤣
 
Hapa chini ni moja ya vigezo vya miradi ya DMDP ambapo ukitazama maeneo tajwa, utaona ni zile sehemu ambazo zilisahaulika...

iii) Kupandisha hadhi makazi yaliyopangwa kiholela katika Kata 14 za Tandale, Mburahati, Mwananyamala, Gongo la Mboto, Kiwalani, Ukonga, Keko, Kilakala, Mbagalakuu, Mbagala, Mtoni, Yombo Vituka, Kijichi na Makangarawe kwa kujenga kilometa 145 kwa kiwango cha lami, kuweka nyenzo za ukusanyaji wa taka ngumu, kujenga mitaro ya kutiririsha maji ya mvua, kuweka taa za barabarani, kujenga njia za watembea kwa miguu, ujenzi wa maeneo ya mapumziko na vituo vya mabasi, ujenzi wa vyoo vya umma na ujenzi wa maeneo ya michezo.

Kwani Mradi wa DMDP ya Mwaka huu 2023/2024 Itajenga barabari zipi?
 
Hahaahaa Chief Hangaya kajipakulia Minyama ,Nyumba Yake imezungukwa na Lami yaani LATRA/KMC/TANROAD wamepekela lami kuanzia Boko Magengeni hadi kwa Samia Mbweni Beach.

Cc: Bushmamy
Mkuu hiyo kawaida kwa viongozi wa kiafrika,maendeleo yatakuja mpaka watu fulani wakiwepo maeneo hyo
Nakumbuka hata adaestate alipokuwa anakaa mh fulani lami ilipigwa mpaka kwake tu
Na ukienda temboni alipokuwa anakaa yule injiniaaa lami ilianzia temboni ikaishia mpaka kwake ila saranga haikufika

Ova
 
Mbezi beach B imepangiliwa, hakuna viwanja ambavyo havijapimwa hii inaanzia Afrikana yote hadi Jangwani, Makonde
Lami itapigwa kwa baadhi ya mitaa tu maana kuna nyumba zingine zmejengwa mitaa haitoki
Lami huko wakipiga labda itakuwa kwa asilimia 70 tu

Ova
 
Kabisa anaingia njia zote akitokea Ununio anaingia Jeshini Ndege Beach anaikamata barabara ya kwanza kisha hadi kwake Mbweni Beach then akitoka akipita darajani pale anakuja kutokea round about anaikamata Boko Magengeni.

Vigogo wamejipakulia minyama.

Cc: Bushmamy
Barabara za lami zinapandisha hadhi ya eneo...

Ova
 
Kuna hii lami ya Njia nne Goba, kwenda Matosa Kimara ni below standard kabisa.

Huwa najiuliza hivi serikali huwa wanakagua hii miradi kweli?

Ni uharibifu wa pesa za walipa kodi
Huko wanajua hakuna watu wenye hadhi kubwa wanaoweza kuhoji ndio maana wanajenga kwa kujiachia watakavyo. Huwezi kuta ujinga huu unafanyika ununio, mbweni nk. Nchi hii shida sana. Binafsi nimetokea kumchukia sana Mbarawa na watendaji wa TANROAD. Natamani Wizara ya UJENZI ingekuwa na waziri kama William Lukuvi, yule mzee angeshapita yeye mwenyewe kwenye hizi barabara zote za mbezi, mpiji, Makabe na Matosa na angewakimbiza sana hawa wababaishaji wa TANROAD. MBARAWA YEYE YUPO TU OFISINI AKISUBIRIA TAARIFA.

WIZARA HII INAHITAJI WAZIRI KAMA LUKUVI AU KAMA ILIVYOKUWA ENZI za Magufuli akiwa waziri, pia TANROAD INAHITAJI MTU KAMA NEHEMIAH MCHECHU
 
Back
Top Bottom