Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Kila siku najiuliza kwanini hawa Tanroad wanafanya vitu kwa kubashiri sana.. Huwa nikipita pale mbezi mwisho naumia sana wanavyo lichezea lile eneo.
Kama ni Mhandisi usipite pale unaweza zimia kwa vituko tanroad wanatufanyia.
Design za barabara (highway) nyingi zinaeleweka, kwanini kujifanya mna ubunifu wakati mnachezea pesa za kodi na kuharibu maeneo ambayo yangeweza rahisisha maisha ya watanzania.
Consultant wa barabara ya Kimara vs Kibaha sijui mlimtoa wapi?
Mbona Kenya wanafanya vitu vizuri kabisa.. Kwani ni dhambi kukopi?