t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Ujenzi unaoendelea pale ni wa zima moto , baada ya kuona junctions ile imeshakuwa notoriously danger .Mbona Fly over ipo kwenye plan muda mrefu na imesha anza kujengwa kitambo pale mbezi?
Yani kama kenge ndo anasikia sasa baada ya damu kutoka masikioni.
For future reference hizi taa zote zilizowekwa kwenye barabara hiyo kuanzia stop over , zitaprove failure na itakuja kuamliwa kuwa flyover is the best answer , wakati huo itakuwa ni turufu ya kuombea kura na fursa ya kuchezea kodi zetu kwa mara nyingine.