Mbezi mwisho ingejengwa hivi, Tanroad wangepungukiwa na nini?

Usijifariji.. najua wewe unatoka kile kitengo cha ushauri cha Tanroad ambao ndio mmeharibu mradi mzima wa highway toka kimara vs kibaha..

Internet haidanganyi ila muda utaongea tuu

Ngoja pakamilike MKUU.. ntakutafuta [emoji1431]
 
Usijifariji.. najua wewe unatoka kile kitengo cha ushauri cha Tanroad ambao ndio mmeharibu mradi mzima wa highway toka kimara vs kibaha..

Internet haidanganyi ila muda utaongea tuu
Kunakaraha fulani jamii forum unaweza ukakuta unabishana na boss wa mradi
 
Sio foerver mkuu , just matter of time , tutakuja kujua tulikosea , kumbuka wanaopita salama na kwa uhakika pale ni directions nne tu , kati ya 12 zilizopo, kwa maana ya kuwa directions nane( 8) bado zinategemea taa, put it simple zile flyover kitaalamu hazijatatua hata nusu ya tatizo kwenye junctions, ndio sbabu Tazara panasumbua na hata ile ya uhasibu ikikamilika bado foleni itasumbua.

Uzuri internet haisahau , huko mbele lazima tujenge kwa mfumo sahihi
Flyover Ubungo imepunguza foleni bana, acha ubishi.

Kwa wanaopita pale chini, hawakai zaidi ya dakika mbili taa zinaruhusu.
 
Kila siku najiuliza kwanini hawa Tanroad wanafanya vitu kwa kubashiri sana.. Huwa nikipita pale mbezi mwisho naumia sana wanavyo lichezea lile eneo.

Kama ni Mhandisi usipite pale unaweza zimia kwa vituko tanroad wanatufanyia.

Design za barabara (highway) nyingi zinaeleweka, kwanini kujifanya mna ubunifu wakati mnachezea pesa za kodi na kuharibu maeneo ambayo yangeweza rahisisha maisha ya watanzania.

Consultant wa barabara ya kimara vs kibaha sijui mlimtoa wapi?

Mbona kenya wanafanya vitu vizuri kabisa.. kwani ni dhambi kukopi?View attachment 2102241View attachment 2102251
Tanroads mna la kujibu, njooni
 
Kwa akili zao watakuambia hiyo ni anasa
 
Iyo barabara ya njia 3 ilikua msaada toka world bank tukawakorofisha na ujenzi umekua wa kususua sua. So huwezi mpelekea lawama tanroads. Ni sawa leo ukalaumu mkandarasi wa barabara ya mwenge kwa nini hakumalizia na flying over pale makutano

Ukweli hapo mbezi mwisho kuna itaji u-turn sample iyo na zile sehemu zingine za katikati ambapo gari hupishana mfano temboni.

Mbona Mbezi Fly over ipo kwenye mpango na ninaona wameanza kutengeneza fly over pale?
 
Kila siku najiuliza kwanini hawa Tanroad wanafanya vitu kwa kubashiri sana.. Huwa nikipita pale mbezi mwisho naumia sana wanavyo lichezea lile eneo.

Kama ni Mhandisi usipite pale unaweza zimia kwa vituko tanroad wanatufanyia.

Design za barabara (highway) nyingi zinaeleweka, kwanini kujifanya mna ubunifu wakati mnachezea pesa za kodi na kuharibu maeneo ambayo yangeweza rahisisha maisha ya watanzania.

Consultant wa barabara ya kimara vs kibaha sijui mlimtoa wapi?

Mbona kenya wanafanya vitu vizuri kabisa.. kwani ni dhambi kukopi?View attachment 2102241View attachment 2102251

Mkuu ramani yako inahitaji nafasi kubwa sana lakini kwenye plan ya hii barabara pale mbezi kuna fly over na wakati wa uzinduzi wa hii barabara waziri alisema kutakuwa na fly over na mbezi ikiwemo na nimeona mbezi wameanza kujenga kama sijakosea!
 
Pale lazima pajengwe flyover ndo tatizo litaisha ,.Tanroad wapo kwenye corner the only option ni kufanya kitu sahihi sio bla bla tulizozoea kusikia, hata hizi taa wanazoweka , ni kupiteza tu pesa maana kuna siku zitaprove beyond doubt kuwa sio msaada.

Mbona Fly over ipo kwenye plan muda mrefu na imesha anza kujengwa kitambo pale mbezi?
 
Mbezi kuna nafasi kubwa sana.. wanachezea tuu kodi za wananchi kwa kujenga vitu tempo.. visivyo tatua kero ya foleni.

Pia share hiyo ramani unayo isema
Mkuu ramani yako inahitaji nafasi kubwa sana lakini kwenye plan ya hii barabara pale mbezi kuna fly over na wakati wa uzinduzi wa hii barabara waziri alisema kutakuwa na fly over na mbezi ikiwemo na nimeona mbezi wameanza kujenga kama sijakosea!
 
Usijifariji.. najua wewe unatoka kile kitengo cha ushauri cha Tanroad ambao ndio mmeharibu mradi mzima wa highway toka kimara vs kibaha..

Internet haidanganyi ila muda utaongea tuu
Huyu jamaa hadi nimeshangaa, yaani kwa stage iliyofikia bado anataka tuamini kuna kitu kipya kitakuja pale mbezi!! ?

Yani turufu za ccm kuombea kura zinaletwa hadi Jf , ambapo literacy inakisiwa ipo juu kuliko vijijini huko,
 
Hatuna haja ya kujifananisha na yeyote akiwemo (KENYA) na kuhusu kinachofanyika palee ngoja kikamilike utakuja hapa kupongeza.. mbuyu ukiwa mdogo mdogo hauwezi kuupa heshima kama mbuyu ukishapevuka ki umbo
Haja ya kufananisha Kenha na Tanroad ipo sana , for better preferences,
Kenha wanafanya vitu kwa uwazi sana na kama kuna tatizo wakija na solution mara nyingi wanafanikiwa , nenda kajionee nairobi express way ujionee, ndo utajua Tanroad wanazingua na kodi zetu.
 
Kwa ujenzi ulipo fikia , kuweka flyover ni kupoteza pesa ,
Mkuu kwenye ujenzi wa barabara madaraja huanza kwanza ndipo lami inakuja , kama wameamua kujenga flyover( na nimeiona wanachimba) itawalazimu kubomoa lami iliyowekwa ili kuifata daraja ,
Na hii ya kujenga daraja pale ni baada ya kuona foleni ya pale junction imeshashindikana ,
Internet never forgets, haya ya kujenga flyover pale yalijadiliwa humu wakati huo pala pakiwa single carriage way,

Back
Top Bottom