Mbezi mwisho ingejengwa hivi, Tanroad wangepungukiwa na nini?

Usijifariji.. najua wewe unatoka kile kitengo cha ushauri cha Tanroad ambao ndio mmeharibu mradi mzima wa highway toka kimara vs kibaha..

Internet haidanganyi ila muda utaongea tuu

Ngoja pakamilike MKUU.. ntakutafuta [emoji1431]
 
Usijifariji.. najua wewe unatoka kile kitengo cha ushauri cha Tanroad ambao ndio mmeharibu mradi mzima wa highway toka kimara vs kibaha..

Internet haidanganyi ila muda utaongea tuu
Kunakaraha fulani jamii forum unaweza ukakuta unabishana na boss wa mradi
 
Flyover Ubungo imepunguza foleni bana, acha ubishi.

Kwa wanaopita pale chini, hawakai zaidi ya dakika mbili taa zinaruhusu.
 
Tanroads mna la kujibu, njooni
 
Kwa akili zao watakuambia hiyo ni anasa
 
Mbona Mbezi Fly over ipo kwenye mpango na ninaona wameanza kutengeneza fly over pale?
 
Mkuu ramani yako inahitaji nafasi kubwa sana lakini kwenye plan ya hii barabara pale mbezi kuna fly over na wakati wa uzinduzi wa hii barabara waziri alisema kutakuwa na fly over na mbezi ikiwemo na nimeona mbezi wameanza kujenga kama sijakosea!
 
Mbona Fly over ipo kwenye plan muda mrefu na imesha anza kujengwa kitambo pale mbezi?
 
Mbezi kuna nafasi kubwa sana.. wanachezea tuu kodi za wananchi kwa kujenga vitu tempo.. visivyo tatua kero ya foleni.

Pia share hiyo ramani unayo isema
Mkuu ramani yako inahitaji nafasi kubwa sana lakini kwenye plan ya hii barabara pale mbezi kuna fly over na wakati wa uzinduzi wa hii barabara waziri alisema kutakuwa na fly over na mbezi ikiwemo na nimeona mbezi wameanza kujenga kama sijakosea!
 
Usijifariji.. najua wewe unatoka kile kitengo cha ushauri cha Tanroad ambao ndio mmeharibu mradi mzima wa highway toka kimara vs kibaha..

Internet haidanganyi ila muda utaongea tuu
Huyu jamaa hadi nimeshangaa, yaani kwa stage iliyofikia bado anataka tuamini kuna kitu kipya kitakuja pale mbezi!! ?

Yani turufu za ccm kuombea kura zinaletwa hadi Jf , ambapo literacy inakisiwa ipo juu kuliko vijijini huko,
 
Hatuna haja ya kujifananisha na yeyote akiwemo (KENYA) na kuhusu kinachofanyika palee ngoja kikamilike utakuja hapa kupongeza.. mbuyu ukiwa mdogo mdogo hauwezi kuupa heshima kama mbuyu ukishapevuka ki umbo
Haja ya kufananisha Kenha na Tanroad ipo sana , for better preferences,
Kenha wanafanya vitu kwa uwazi sana na kama kuna tatizo wakija na solution mara nyingi wanafanikiwa , nenda kajionee nairobi express way ujionee, ndo utajua Tanroad wanazingua na kodi zetu.
 
Kwa ujenzi ulipo fikia , kuweka flyover ni kupoteza pesa ,
Mkuu kwenye ujenzi wa barabara madaraja huanza kwanza ndipo lami inakuja , kama wameamua kujenga flyover( na nimeiona wanachimba) itawalazimu kubomoa lami iliyowekwa ili kuifata daraja ,
Na hii ya kujenga daraja pale ni baada ya kuona foleni ya pale junction imeshashindikana ,
Internet never forgets, haya ya kujenga flyover pale yalijadiliwa humu wakati huo pala pakiwa single carriage way,

Mkuu ramani yako inahitaji nafasi kubwa sana lakini kwenye plan ya hii barabara pale mbezi kuna fly over na wakati wa uzinduzi wa hii barabara waziri alisema kutakuwa na fly over na mbezi ikiwemo na nimeona mbezi wameanza kujenga kama sijakosea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…