Here we have 'paper engineers'
Angalia Tazara foleni iko pale pale.
Angalia Jangwani makao makuu ya UDART ndani ya miaka miwili pamefunikwa na mchanga yaani pamezikwa.
Mbezi Ni kituko. Kuna siku foleni Mbezi inafika saa Saba usiku.
Tzn hii kuna wahandisi wajinga Sana na useless kabisa.flyover ya uhasibu ni takataka
Barabara ya Maramba mawili Ni kichekesho, paper engineers kafuatilia mule mule tulipikua tunapitishia ng'ombe . Kuna Kona za 90 degree ambayo semi trailer haiwezi kukunja.Tanzania sijui nani alituroga na Tanroad sijui kazi yao ji nini?
Barabara ya Maramba mawili Ni kichekesho, paper engineers kafuatilia mule mule tulipikua tunapitishia ng'ombe . Kuna Kona za 90 degree ambayo semi trailer haiwezi kukunja.
Nimeona wemezungushia mabati huenda Kuna Jambo linakujaSure nimekuelewa hapa kaka.. na kwa kutokea njia ya Goba pale Mbezi kuna mwinuko natural wa kutosha kukuvusha kwenda njia ya Malamba.. na kwasasa sijui kama kuna mega structures mpya kwa miaka ijayo
pale wanachimbia hela chini tu hakuna wanachofanyaTzn hii kuna wahandisi wajinga Sana na useless kabisa.
Ina barabara nyingi zaidi sababu bajeti ilikuwa kubwa ya ujenzi kenya hawa kumudu wakakopeshwa na ChinaPoint yako ni ipi kwa hii comment?
Weka details ZaidiNguvu ya umma imesikika, mbezi mwisho njia panda ya Goba wanajenga flyover kutokea goba kwenda malamba mawili
by pass zilizojengwa mbezi mwisho na kwa yusufu zipo vizuri katika kupunguza foleni, ila foleni imehamia stendi ndogo ya daladala, unaweza ukatumia hadi saa 2 kutoka mle ndani, ingekuwa vyema kama serikali ingehamisha stendi ya daladala na kuijenga karibu na stendi ya mkoa au kujenga flyover kutoka stendi ndogo hadi njia panda ya goba
vibanda vya wamachinga vimesharudi kama zamani na hamna anaye jali, nusu barabara nusu wamepanga vituTatizo stendi imegeuzwa kuwa soko.
Si mliwafukuza wamachinga?Tatizo stendi imegeuzwa kuwa soko.