Mbilinyi (Sugu) kazi anayo kwa huyu mwanadada

Si awashtaki hao waliokiuka masharti ya makubaliano ya kazi? Au walikubaliana vya kisirisiri vya chumbani? Sugu anahusika vipi kuzuia program za vipindi vya televisheni ambayo sina hakika kama ana hisa hata moja?
 
Sugu aliamua kumwachia Mtoto huyoo Dada baada ya kudai atajinyongaaa kumbeee lengoo apatee fedhaa...mbona alijishauaa Eti kwako.mamboo.safiiii......jamani inawezekana.Pesa ya matumizi hapewi kweli ila hata ungekuwa ni wewe kaka unayesoma hapa huyu Dada usingempaaa anaudhiiiiiiii yaani naweza fungwaa Maisha..mfano.kuna clip ye Na mwanae.Mtoto.wake Amalia then yeye wanasema we Mtoto.Wa nani Mtoto.anajibu Wa Sugu Mbunge Joseph Mbilinyi..mwambie sijala....bdy.akazugaaa Eti Ni vipande vya Comedy take Na Mtoto..Imagine mpo Na mzazi mwenzio kwenye hali tata ivyoo pengine unataka kuyasahau ya nyumaa kurudisha.moyoo konde..ghafra unaona watu wanarushiana iyo clip Na unajua mambo ya whatsaap Ni Dk.5,Dunia..yaani I pity for her!!!
 
Hivi Sugu hawezi kweli kumsaidia mzazi mwezie kwa kumtafutia wataalamu wa saikolojia...ili wajaribu kurekebisha kufikiri kwa huyu Dada? Maana anamuumiza mtoto.
 
......

.......Mkuu uzi ulikuja kisiasa lakini kale ka picha

Hata bila uwepo wa hiyo picha bado sioni kama kinachojadiliwa hapa ni siasa, ila naona kinachojadiliwa hapa ni mahusiano ya kimapenzi baina ya watu wawili.
 
Ukiangaliwa wewe unaanza kunata, kinachoangaliwa ni ule ukike wako tupige show life iende, mkishaanza minato, wanawake tunaweza ndipo mnapoharibugi uhalisia wa kike
Kwa hiyo una-justify alilofanya sugu?
 
aache uwongo wake sugu ana mamlaka gani eatv wasirushe kipindi yy nan pale afu pia hadi anataka aanze kipind eatv ina mana hakuna makubaliano waliyoandikishana anatafuta kiki tu huyu
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni hakuna aliyekamilika chini ya jua.halafu huyo mhe.akumbuke cheo ni dhamana.always try to do the right things in this world.walikuwepo maarufu lakini tulishawasahau
Sugu hayupo km unavofikir

Mtt anasomeshwa na sugu analipa Ada Moja kwa Moja shuleni, kuanzia kipind cha baby care had Sasa
Huyu faiza hupewa matumizi ya mtt kila mwezi
Sema anatafuta tu attention hata km kuna kipind chake kimefanyiwa hujuma haja tumia njia sahihi

Mbna ana mapenz black American anahangaika na sugu wa nini kwanin wasiahamie kwa jamaa Virginia!!!!!! Amwache mtt sugu aleee!!!!!
 
ningekua sugu ni kunyamaza tu huyu chizi asipoteze muda wangu
 
Mwanamke ana kazi ya kushinda matako wazi kwenye vyombo vya habari. Mbilinyi anaumia sana rohoni kukutana na shetani ,," Live"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…