HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Hahaaaa Kipindi Kile alikuwaga mpoleeeNi nini kilimvutia Mbilinyi hadi akamla huyu mkosa maadili
Naani..Wana niita sugu Nani wananita sugu sugu suguuu
Are you serious?Mwanzoni nilijuaga Faiza ni chizi ila sasa naanza kumuelewa vizuri!
He he heeeee be smart when dating sio mnaparamia tu I wonder if these guys dates before someone became pregnantHahaha! You have nailed it lady, it's a fact. What should we do?
Mungu yupo midomoni ila mioyoni hayupo kabisa, angekaa kimya hakika angemtesa sana kama ni kweli.Huyo dada nae,kama anajua MUNGU yupo atahukumu si akae kimya tu amuachie MUNGU?Ah!
Tumekupata vyema bibieWanaume kabla hujapanga maamuzi ya kuzaa, muwe mnajipa muda kidogo wa kutafakari mtu unaezaa nae, usiwe mwepesi wa kufanyiwa maamuzi na kichwa cha chini.....
Alafu shombe shombe tena lazima uingie lainiHahaaaa Kipindi Kile alikuwaga mpoleee
Lengo lake watu wajue. Kama imani kuhusu uwepo wa Mungu ingekuwa rahisi kiasi hicho kusingekuwa na vitabu vya dini.Huyo dada nae,kama anajua MUNGU yupo atahukumu si akae kimya tu amuachie MUNGU?Ah!