Mbingu ya Waislamu inatamanisha na kusisimua kuliko ya Wakristo.

Huwa inachekesha sana yaani! Hivi kutoa bikra kila ukitaka kungonoka ni kurahisi hivyo?! Unatoa bikra Moja kwa tabu unahamia kwa bikra nyingine šŸ¤”

Anyway, ngoja nikifika nitajionea mwenyewe.
 
Wanawake wa Kiislamu watachakatwa papuchi zao na nani? Ama Allah mwenyewe na Mohammad ndio watakuwa kuwa wanawapelekea moto? Hiyo ya kurudishiwa bikra zao aya za Quran na hadithi zipo kimya.
 
sasa mtu unaishi maisha magumu na ya dhiki halafu unaambiwa ukifa unaenda kuishi na yesu kula mikate na mvinyo kwa kweli inavunja moyo kuabudu, si bora nikachomwe moto tu
 
Huwa inachekesha sana yaani! Hivi kutoa bikra kila ukitaka kungonoka ni kirahisi hivyo?! Unatoa bikra Moja kwa tabu unahamia kwa bikra nyingine šŸ¤”

Anyway, ngoja nikifika nitajionea mwenyewe.
Utapewa nguvu za wanaume mashababi 100 kukuwezesha kushughulika na hizo bikra, usiogope.
 
Ukiachana na masuala ya kiroho, unaona kabisa pepo ya Kiislam ni siasa fulani za kitapeli...

Yaani Muhammad alijaribu kutengeneza matamanio yote ya kibinadamu, akaweka kama ahadi ya Muislam.

Haoafu yeue mwenyewe alifany amatukio mabaya kiasi kwamba kila Muislam anatakiwa kumwombea.

Imagine, Muislam mwenyewe anapata kigugunizi kutetea matendo ya Muhammad.

Ndio hivyo, mambo ya kiroho huwezi kuyabadilisha.
 
Lakini wewe mbingu ipi inakuvutia zaidi?
Kuwa mkweli.
 
Lakini wewe mbingu ipi inakuvutia zaidi?
Kuwa mkweli.
Mimi siyo religious, sinywi pombe na siyo mtu wa wanawake sana.

So, sioni kama mbingu ya Kiislam ingenifaa.

Labda mbingu ya Mashahidi wa Yehova.
 
Mbingu ya waislam ni kituko, duniani pombe, mbinguni utakunywaje? Hujawahi kuonja bikra na kuivunja duniani, huko mbinguni utaweza kuchakata mabikra 72?
Kiasi fulaji inaweza kumake sense maana mambo amabayo ulikuwa ukizuiwa kuyafanya huku duniani ndio unaenda kuyafanya kwa amani na uwazi bila kificho,,
 
Umeshawahi Kutoa bikra hata moja? Mm nimetoa tatu nakuambia hakuna kitu kinachosha, kuboa na kukera kama Kutoa hiyo bikra. Bora mm wanipe waliotolewa kabisa
 
Hapa duniani tupo kufundishwa maadili ya mbinguni. Maadili ya mbinguni ni kusifu, kuabudu na kusujudu. Kama hujafikia maadali hayo huwezi kuingia Mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…