Mbinguni hakuna kuoa – kama hujaoa, oa sasa ufurahie maisha!

Mbinguni hakuna kuoa – kama hujaoa, oa sasa ufurahie maisha!

Status
Not open for further replies.

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
6,238
Reaction score
8,194
Kama hujaoa kwa kufikiri kwamba ukienda mbinguni ndio utapata mke mrembo, sahau kabisa hilo. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Hayo yamesemwa na Yesu mwenyewe. Kumbuka, Yesu anaheshimiwa sio tu na Wakristo, bali anakubaliwa hata katika maandiko na mitazamo ya dini nyingine duniani. Kwa hiyo, kauli yake sio ya kupuuzwa. Katika Mathayo 22:30 anasema wazi kwamba:
"...wafu watakapofufuka hawataoa wala kuolewa; watakuwa kama malaika mbinguni."

Ndoa ni kwa ajili ya maisha haya ya duniani tu. Mbinguni hakutakuwa na mume wala mke. Hivyo ndugu yangu, kama hujaoa, na una hitaji hilo, usikawie. Hii ndiyo nafasi yako ya kufurahia ndoa katika mpango wa Mungu. Ila tafadhali usije kwangu. Mimi ni bibi Arusi wa Mfalme!

Nasisitiza tena: Usisubiri ahadi zisizo za kibiblia za kuoa mabikra mbinguni. Maisha ya mbinguni ni ya utukufu mwingi kuliko maisha ya duniani.

Kama hujui jinsi ya kupata mke mwema utakayeishi naye kwa furaha, niulize, ntakushauri. Vinginevyo ukikurupuka kuoa, maisha ya ndoa utayaona kama ya jehanamu. Mke atakutesa mpaka ukome!

1 Wakorintho 7:9
"...ni afadhali zaidi kuoa kuliko kuwaka tamaa."
 
Nishajifanya ukiburi..
Kugombana na wee
Ila kipimo changu cha uzuri
Mtu anafanane na wee Setfree

Umaarufu pesa changamoto
Ukiwa navyo ungali mtoto
Kukuoa we nikama ndoto
Nahisi kama nimeshinda lotto

Na nilicho gundua humu jf
Couple yetu ina bamba
Ohh yabambaa
 
mkuu hata hivi vifungu ulivyo andika ni hadithi tu zilizotungwa na binadamu wenzio
 
Mna shindana kisa dini zilizo kuja kwa mitumbwi na boti.
FB_IMG_17522320890183066.jpg
 
Nishajifanya ukiburi..
Kugombana na wee
Ila kipimo changu cha uzuri
Mtu anafanane na wee Setfree

Umaarufu pesa changamoto
Ukiwa navyo ungali mtoto
Kukuoa we nikama ndoto
Nahisi kama nimeshinda lotto

Na nilicho gundua humu jf
Couple yetu ina bamba
Ohh yabambaa
We mtoto, maliza kwanza shule. Mambo ya wakubwa tuachie sisi. Jifunze kwa bidii somo la Kiswahili, ikibidi uende tuition. Angalia hujajua hata jinsi ya kuandika vizuri mashairi yenye vina na mizani 😎
 
mkuu hata hivi vifungu ulivyo andika ni hadithi tu zilizotungwa na binadamu wenzio
Tangu lini hadithi za kutungwa zikawa na unabii unaotimia waziwazi baada ya kupita miaka 2000+??
Unabii mmojawapo ni huu:
 
Mna shindana kisa dini zilizo kuja kwa mitumbwi na boti.
View attachment 3418665
Hayo yalitabiriwa zamani sana kwamba yatatokea.
Mathayo 24:24
“Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watafanya ishara kubwa na maajabu, wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.”
 
Mbingu ya chini( kuzimu kavu) kuna kuoa na kuolewa, Tena bila kujali jinsia au rika, kuna Kila aina ya UCHAFU.
 
We mtoto, maliza kwanza shule. Mambo ya wakubwa tuachie sisi. Jifunze kwa bidii somo la Kiswahili, ikibidi uende tuition. Angalia hujajua hata jinsi ya kuandika vizuri mashairi yenye vina na mizani 😎
Na nilicho gundua
Couple yetu ina bamba
Ohh yabambaa

Hata liwake inyeshe mvua
Mi nawe sambamba
Ohh sambamba

Wewe ni wangu mamaa
Couple yetu ina bamba
Ohh ina bamba

I CANT LIVE WITHOUT YOU 🥺 🥺 🥺 IFOMANE.....
 
Hii sio sahihi. Mstari wa kwanza unaishia na "a", wa pili unaishia na "mba". Kazana utafeli
Setfreee i want to show all people of this how i feel when nakuona...
Nataka niwe karibu na weww maana ukaribu wako na wewe najua hata mimi ntakua karibu na baba wa mbinguni...
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

Na hiyo ni ndoto yangu kubwa sana..
Naomba nijikabizi mikononi mwako nakuomba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom