Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Nikuite jina gani la pekeeNimeishakuambia mimi ni bibi Arusi wa Mfalme, au kama Kiswahili hujui: "Am the Covenant Bride of the Heavenly Bridegroom."
Nikuite jina gani la pekeeNimeishakuambia mimi ni bibi Arusi wa Mfalme, au kama Kiswahili hujui: "Am the Covenant Bride of the Heavenly Bridegroom."
Kama hujaoa kwa kufikiri kwamba ukienda mbinguni ndio utapata mke mrembo, sahau kabisa hilo. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Hayo yamesemwa na Yesu mwenyewe. Kumbuka, Yesu anaheshimiwa sio tu na Wakristo, bali anakubaliwa hata katika maandiko na mitazamo ya dini nyingine duniani. Kwa hiyo, kauli yake sio ya kupuuzwa. Katika Mathayo 22:30 anasema wazi kwamba:
"...wafu watakapofufuka hawataoa wala kuolewa; watakuwa kama malaika mbinguni."
Ndoa ni kwa ajili ya maisha haya ya duniani tu. Mbinguni hakutakuwa na mume wala mke. Hivyo ndugu yangu, kama hujaoa, na una hitaji hilo, usikawie. Hii ndiyo nafasi yako ya kufurahia ndoa katika mpango wa Mungu. Ila tafadhali usije kwangu. Mimi ni bibi Arusi wa Mfalme!
Nasisitiza tena: Usisubiri ahadi zisizo za kibiblia za kuoa mabikra mbinguni. Maisha ya mbinguni ni ya utukufu mwingi kuliko maisha ya duniani.
Kama hujui jinsi ya kupata mke mwema utakayeishi naye kwa furaha, niulize, ntakushauri. Vinginevyo ukikurupuka kuoa, maisha ya ndoa utayaona kama ya jehanamu. Mke atakutesa mpaka ukome!
1 Wakorintho 7:9
"...ni afadhali zaidi kuoa kuliko kuwaka tamaa."
Unaolewa na Mungu wa Mbinguni?Nimeishakuambia mimi ni bibi Arusi wa Mfalme, au kama Kiswahili hujui: "Am the Covenant Bride of the Heavenly Bridegroom."
Unatakiwa upate mke wa kufanana na wewe mwenye Poor Brain unayeshindwa hata kuandika mashairi.Setfreee i want to show all people of this how i feel when nakuona...
Nataka niwe karibu na weww maana ukaribu wako na wewe najua hata mimi ntakua karibu na baba wa mbinguni...
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Na hiyo ni ndoto yangu kubwa sana..
Naomba nijikabizi mikononi mwako nakuomba
mimi nimesha jikatia tamaa ya kuoa kwa kukosa hela, yaani imepelekea kutojiamini kabisa yaani ninatamani kuwa na familia lakini kila nikijaribu hata kulazimisha lakini wapi, apa ninaandika nina maumivu ya moyo naona sina thamani, nina mengi ya kuzungumza lakini sina wakumwambiaKama hujaoa kwa kufikiri kwamba ukienda mbinguni ndio utapata mke mrembo, sahau kabisa hilo. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Hayo yamesemwa na Yesu mwenyewe. Kumbuka, Yesu anaheshimiwa sio tu na Wakristo, bali anakubaliwa hata katika maandiko na mitazamo ya dini nyingine duniani. Kwa hiyo, kauli yake sio ya kupuuzwa. Katika Mathayo 22:30 anasema wazi kwamba:
"...wafu watakapofufuka hawataoa wala kuolewa; watakuwa kama malaika mbinguni."
Ndoa ni kwa ajili ya maisha haya ya duniani tu. Mbinguni hakutakuwa na mume wala mke. Hivyo ndugu yangu, kama hujaoa, na una hitaji hilo, usikawie. Hii ndiyo nafasi yako ya kufurahia ndoa katika mpango wa Mungu. Ila tafadhali usije kwangu. Mimi ni bibi Arusi wa Mfalme!
Nasisitiza tena: Usisubiri ahadi zisizo za kibiblia za kuoa mabikra mbinguni. Maisha ya mbinguni ni ya utukufu mwingi kuliko maisha ya duniani.
Kama hujui jinsi ya kupata mke mwema utakayeishi naye kwa furaha, niulize, ntakushauri. Vinginevyo ukikurupuka kuoa, maisha ya ndoa utayaona kama ya jehanamu. Mke atakutesa mpaka ukome!
1 Wakorintho 7:9
"...ni afadhali zaidi kuoa kuliko kuwaka tamaa."
Ufunuo 19:9Unaolewa na Mungu wa Mbinguni?
Endelea kukaa siti ya mbele, ntakurudia...utafurahi muda si mrefu!mimi nimesha jikatia tamaa ya kuoa kwa kukosa hela, yaani imepelekea kutojiamini kabisa yaani ninatamani kuwa na familia lakini kila nikijaribu hata kulazimisha lakini wapi, apa ninaandika nina maumivu ya moyo naona sina thamani, nina mengi ya kuzungumza lakini sina wakumwambia
Jibu liko hapa. Soma kwa makini huku ukitafuna popcorn, utaelewa 🙂Mbinguni ndio mahali gani ??
Usasa tujadili nini maana wanojadili siasa wanauwana cha maana kipi embu tufahamisheMna shindana kisa dini zilizo kuja kwa mitumbwi na boti.
View attachment 3418665
Mwambie kwa SAUTI KUBWA halafu subiri uone labda atasikia.Usasa tujadili nini maana wanojadili siasa wanauwana cha maana kipi embu tufahamishe
Hayo sio mashairi mama angu ni maneno kutoka katika akili yanguUnatakiwa upate mke wa kufanana na wewe mwenye Poor Brain unayeshindwa hata kuandika mashairi.
Kumbuka hata Adamu alifanyiwa msaidizi wa kufanana naye.
Mwanzo 2:18
“Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake; nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.”
Unajua furaha yangu ni weweInatosha ukiniita hivi:
Bibi arusi wa Kristo (The Bride of Christ)
“Mkewe amejiweka tayari…” (Ufunuo 19:7)
Wewe naona ni Intelligent businessman katika mambo ya fedha na uchumi lakini kuhusu spiritual business bado unahitaji kusoma zaidi. Kumbuka kuwa ukweli hauzuiliki kwa sababu historia ya familia yako haikuujua. Biblia haikuanzisha maisha, lakini inafunua maana ya maisha. Uwepo wa mababu zetu kabla ya Biblia haupingi ujumbe wa Biblia, kama vile ambavyo mvua ilikuwepo kabla ya thermometers, lakini hilo halimaanishi vipimo vya hali ya hewa ni “fake.” Una uhuru wa kuamini chochote, lakini mimi nimeonja neema ya Mungu na nina hakika: kuna nguvu ndani ya Neno la Mungu ambalo halijatungwa na mwanadamu.We kumbe chizi, kabla ya hiyo bible alikuwepo babu yangu mwana nanjilinji.
Hakukuwa na bible Wala hizo fake notes, zaidi ya asili.
acha ndugu yangu nashindwa nifanyeje, ninayo yapitia mungu mwenyewe ndiye anayejua na naona muda simrefu nitaugua sonona.Endelea kukaa siti ya mbele, ntakurudia...utafurahi muda si mrefu!
Mungu amekuona ndio sababu amekuleta hapa ili upate jibu la tatizo lako. Nilikuahidi, endelea kukaa siti ya mbele ntakurudia. Utafurahi tu. Mungu hana upendeleo.acha ndugu yangu nashindwa nifanyeje, ninayo yapitia mungu mwenyewe ndiye anajua na naona muda simrefu nitaugua sonona.
Mungu aniepushe nimechoka