We mtoto, maliza kwanza shule. Mambo ya wakubwa tuachie sisi. Jifunze kwa bidii somo la Kiswahili, ikibidi uende tuition. Angalia hujajua hata jinsi ya kuandika vizuri mashairi yenye vina na mizani 😎Nishajifanya ukiburi..
Kugombana na wee
Ila kipimo changu cha uzuri
Mtu anafanane na wee Setfree
Umaarufu pesa changamoto
Ukiwa navyo ungali mtoto
Kukuoa we nikama ndoto
Nahisi kama nimeshinda lotto
Na nilicho gundua humu jf
Couple yetu ina bamba
Ohh yabambaa
Tangu lini hadithi za kutungwa zikawa na unabii unaotimia waziwazi baada ya kupita miaka 2000+??mkuu hata hivi vifungu ulivyo andika ni hadithi tu zilizotungwa na binadamu wenzio
Hayo yalitabiriwa zamani sana kwamba yatatokea.Mna shindana kisa dini zilizo kuja kwa mitumbwi na boti.
View attachment 3418665
Na nilicho gunduaWe mtoto, maliza kwanza shule. Mambo ya wakubwa tuachie sisi. Jifunze kwa bidii somo la Kiswahili, ikibidi uende tuition. Angalia hujajua hata jinsi ya kuandika vizuri mashairi yenye vina na mizani 😎
Wewe umeolewa au bado? Naomba jibu Mama Paroko1 Wakorintho 7:9
"...ni afadhali zaidi kuoa kuliko kuwaka tamaa."
Ukioa ndio utajua Maisha Mepesi au Mazito? Hususani ukiwa unashusha injini mfululizoKumbe ukioa unafurahia maisha?
Mizizi si ndio?We kumbe chizi, kabla ya hiyo bible alikuwepo babu yangu mwana nanjilinji.
Hakukuwa na bible Wala hizo fake notes, zaidi ya asili.
Wanaojiita watumishi wa Mungu wanachukulia maisha poa sana!!Ukioa ndio utajua Maisha Mepesi au Mazito? Hususani ukiwa unashusha injini mfululizo
Setfreee i want to show all people of this how i feel when nakuona...Hii sio sahihi. Mstari wa kwanza unaishia na "a", wa pili unaishia na "mba". Kazana utafeli