Mbinu 6 za kumpata mwanamke JF

kwamba huko watoto wamejaa tele au kuna kale kamzizi
Hakuna mzizi.
Wanawake wa Tanga asilimia kubwa, ukiomba namba ya simu akakubali kukupa baaasi mchezo umeisha, we jiandae kwa appointment tu
 
ufungue part two na namna ya kuishi nae baada ya kumpata
 
Mitaani huko wanawake wamejaa Kama karanga mbichi unajichagulia Tu. Ya nini kuanza kuigiza humu jukwaani. Me akili
zangu zikinituma napost Tu hata Kama hawatapenda.
 
Siku nikijua unafake lazima nikuabisheee .

Alafu mm ndo maaana nimeamua kuolewa na mtu ambaye amejiweka open siyo hawa wa kujificha nyuma ya keybord

Unaweza kutana na mwanaume sijui yupoje hafanani na comment wala thread zakee aisee unaishiwa pozi.
 
Kwani hawa wanawake wa jf si ndio hawahawa tunaopishana nao njiani,kupanda nao mwendokasi na kuonana mitaani,,,,,anyway, pia usisahau kumpa likes za kutosha
 
Siku nikijua unafake lazima nikuabisheee .

Alafu mm ndo maaana nimeamua kuolewa na mtu ambaye amejiweka open siyo hawa wa kujificha nyuma ya keybord

Unaweza kutana na mwanaume sijui yupoje hafanani na comment wala thread zakee aisee unaishiwa pozi.
Mimi kama balozi wa wanaojificha natoa taarifa kwako.

Tutaendelea kujificha kama kawaida [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mshana Jr alituzidi uchawi tu hamna kingine[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Vibaya hivyo! Acha kufundisha wenzio tabia mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…