Mbinu 6 za kumpata mwanamke JF

Mbinu 6 za kumpata mwanamke JF

kwamba huko watoto wamejaa tele au kuna kale kamzizi
Hakuna mzizi.
Wanawake wa Tanga asilimia kubwa, ukiomba namba ya simu akakubali kukupa baaasi mchezo umeisha, we jiandae kwa appointment tu
 
ufungue part two na namna ya kuishi nae baada ya kumpata
 
Siku nikijua unafake lazima nikuabisheee .

Alafu mm ndo maaana nimeamua kuolewa na mtu ambaye amejiweka open siyo hawa wa kujificha nyuma ya keybord

Unaweza kutana na mwanaume sijui yupoje hafanani na comment wala thread zakee aisee unaishiwa pozi.
 
Siku nikijua unafake lazima nikuabisheee .

Alafu mm ndo maaana nimeamua kuolewa na mtu ambaye amejiweka open siyo hawa wa kujificha nyuma ya keybord

Unaweza kutana na mwanaume sijui yupoje hafanani na comment wala thread zakee aisee unaishiwa pozi.
Mimi kama balozi wa wanaojificha natoa taarifa kwako.

Tutaendelea kujificha kama kawaida [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mshana Jr alituzidi uchawi tu hamna kingine[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
1.profile yako iwe smart! kuanzia username,post zako na unazochangia hata akija kuchunguza hakuti mistake zaidi ya kuvutiwa tu

2.changamana nao kwenye majukwaa mbalimbali,taniana nao,zoeana nao,kuwa marafiki nao Ila usitangulize tamaa ukishafika fika halo utakua unaweza kuchat nao hadi DM mtazungumza vitu vingi wasome nachukua point .

3.kuwa tofauti,usiige kuwa kama flani,jenga brand yako,uwe na dizaini yako ya kipekee,usiwe harsh katika mazungumzo yako

4.kuwa mtu mwenye mtazamo flank na itikadi kama mwanaume kamili usiebabaika ambae unaweza kumwendesha mwanamke ,jiamini na usijisifusifu hovyo hata kidogo kuhusu wewe wala maisha yako halisi.wafanye watamani kujua zaidi kuhusu wewe

5.jipangilie,usiwe muwazi kilakitu Ila pangilia mambo yako yote yaonekane kama nikweli tupu.usitangulize mambo ya pesa mbele.

6.chagua target yako maalumu ya wanawake unaowataka wafatilie kwa umakini,wasome profile zao na mienendo yao.kishabooom!! jiandae kujilia mizigo lukuki!!


kwaniaba ya wanaaaaaa that's what we call men code.see ya there
Vibaya hivyo! Acha kufundisha wenzio tabia mbaya
 
Back
Top Bottom