Mbinu 6 za kumpata mwanamke JF

[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole. Wanaume MNA matukio!!!![emoji119]
 
Namba 3 nimeipenda kumbe hadi brand inajengwa?
 
Hayaa mambo unashangaa unatongoza mwanaume mwenzako huku, fake kila kitu afu kwa watu wengine walio selective hawana mda na wanawake wa huku JF
 
Mimi kama balozi wa wanaojificha natoa taarifa kwako.

Tutaendelea kujificha kama kawaida [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mshana Jr alituzidi uchawi tu hamna kingine[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee kuna mtu mmoja hapa Id yake ni balaaa nikajua ewaaaaaaah

Uwiiii siku namuona akiiii alikula kibut cha mbavuu sikuamin yani ni kibwengo plus upopomaaaa

Itakuwa hizi ndo mbinu zakeeee kabisaa loooh na mm nasema tu polee yalee hakuna namna mm nisingeweza msura kama indiketa za toroli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…