Mbinu 6 za kumpata mwanamke JF

Kwa mfano, kwa thread yako hii unategemea kuvuna wangapi?
 
Siku nikijua unafake lazima nikuabisheee .

Alafu mm ndo maaana nimeamua kuolewa na mtu ambaye amejiweka open siyo hawa wa kujificha nyuma ya keybord

Unaweza kutana na mwanaume sijui yupoje hafanani na comment wala thread zakee aisee unaishiwa pozi.
Hahahhaahah
 
Mkuu ishu sio kupata mwanamke JF, ishu ni baada ya kumpata huyo mwanamke atakuwa kama unavyo taka awe au unavyo dhani?
Maana mwanamke anaweza kukukubali humu akaja PM na at the end mnapanga meeting somewhere unakuta mwanamke kakomaa kama Drogba,
 
Tobaaa! Ila Ninaowafahamu Mimi Wote Wazuri,wacheshi Na Wastaarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…