Mbinu 6 za kumpata mwanamke JF

Mbinu 6 za kumpata mwanamke JF

1.profile yako iwe smart! kuanzia username,post zako na unazochangia hata akija kuchunguza hakuti mistake zaidi ya kuvutiwa tu

2.changamana nao kwenye majukwaa mbalimbali,taniana nao,zoeana nao,kuwa marafiki nao Ila usitangulize tamaa ukishafika fika halo utakua unaweza kuchat nao hadi DM mtazungumza vitu vingi wasome nachukua point .

3.kuwa tofauti,usiige kuwa kama flani,jenga brand yako,uwe na dizaini yako ya kipekee,usiwe harsh katika mazungumzo yako

4.kuwa mtu mwenye mtazamo flank na itikadi kama mwanaume kamili usiebabaika ambae unaweza kumwendesha mwanamke ,jiamini na usijisifusifu hovyo hata kidogo kuhusu wewe wala maisha yako halisi.wafanye watamani kujua zaidi kuhusu wewe

5.jipangilie,usiwe muwazi kilakitu Ila pangilia mambo yako yote yaonekane kama nikweli tupu.usitangulize mambo ya pesa mbele.

6.chagua target yako maalumu ya wanawake unaowataka wafatilie kwa umakini,wasome profile zao na mienendo yao.kishabooom!! jiandae kujilia mizigo lukuki!!


kwaniaba ya wanaaaaaa that's what we call men code.see ya there
Kwa mfano, kwa thread yako hii unategemea kuvuna wangapi?
 
Siku nikijua unafake lazima nikuabisheee .

Alafu mm ndo maaana nimeamua kuolewa na mtu ambaye amejiweka open siyo hawa wa kujificha nyuma ya keybord

Unaweza kutana na mwanaume sijui yupoje hafanani na comment wala thread zakee aisee unaishiwa pozi.
Hahahhaahah
 
Mkuu ishu sio kupata mwanamke JF, ishu ni baada ya kumpata huyo mwanamke atakuwa kama unavyo taka awe au unavyo dhani?
Maana mwanamke anaweza kukukubali humu akaja PM na at the end mnapanga meeting somewhere unakuta mwanamke kakomaa kama Drogba,
 
Mkuu ishu sio kupata demu JF, ishu ni baada ya kumpata huyo demu atakuwa kama unavyo dhani?
Maana demu anaweza kukukubali humu akaku PM mkaanza kuchati at the end mnapanga meeting somewhere unakuta demu kakomaa kama Drogba,
Mademu wengi wa humu profile zao awajaweka za ukweli kuogopa kukimbiwa,
Tobaaa! Ila Ninaowafahamu Mimi Wote Wazuri,wacheshi Na Wastaarabu
 
Back
Top Bottom