Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa siku nyingi sasa nina shida ya kupata notification kwa Tapatalk. Na situmii JF nje ya Tapatalk huwa naona inapoteza muda zaidi na layout ina mambo mengi. Nimeshtuka kuona tangu jana mpaka sasa sina notification ndio nikaingia kwa njia nyingine
Nimekupa hiyo kutokana na uzoefu!Uchumi ni asilimia ndogo sana kwenyevita watu mbinu na silaha ndyo Jambo la msingi alafu Ukrein siyo nchi ndogo kama nchi za kiarabu
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Kwakua unakupa moyo [emoji23][emoji23] kwamba Ukraine inashinda vita [emoji1787][emoji1787]huu sasa ndio uchambuzi. based on critical analysis
Wewe peke yako, Ndio unajuaWote hamjui kuhusu Russia tactical
Kipindi cha vita ya kagera Tanzania haikuwa na jeshi kubwa la kufanya battalion moja kuwa kubwa saana alafu mara nyingi battalion ya Tz ilikuwa inajigawa kimakundi wakati wa kushambulia vijiji au wilaya then baadae wanaungana tena wanasonga mbeleHii mbinu ina ubora wake, tuliwahi kuitumia kwenye vita ya kagera wakati huo tunatumia bm 21, tulifanikiwa kuvichakaza vikosi vya amini kwa sababu adui alinyeshewa mizinga kama mvua. Kama nimfuatiliaji mzuri Russia alianza kuinyeshea makombora ukraine kama mvua lakini progress yao ya vikosi vyao imeonekana kuwa poor