Mbinu gani nitumie kumnasa binti anayenisumbua?

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,089
Ndugu wanajf, naomba tupeane ujuzi, Kuna binti Moja nimetokea kumpenda, nimemwambia kuwa namuelewa nae akakubali ila shida ninapomwambia swala la kummega ananipa kalenda daily.

Naomba munipe ujuzi na mbinu ya kumshawishi huyu binti ili nimle.

Naomba michango yenu tafadhali
 
Ina maana huyo ndio mwanamke wako wa kwanza kumla?
 
Back
Top Bottom