Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mzee?Niaje mzee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee?Niaje mzee?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona unamtekenya mudi.
haya bwana.
Mshirikishe CP Awadhi akupe mbinu🤣Ndugu wanajf, naomba tupeane ujuzi, Kuna binti Moja nimetokea kumpenda, nimemwambia kuwa namuelewa nae akakubali ila shida ninapomwambia swala la kummega ananipa kalenda daily.
Naomba munipe ujuzi na mbinu ya kumshawishi huyu binti ili nimle.
Naomba michango yenu tafadhali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nisemeje sasa?Mzee?
Hizo ndo mbinu Sasa nazitaka,Ukute umemtongoza, kakubali tu, hujafanya lolote na tayari unamuita 'ghetto'.
Umemuhonga hata kakifurushi ka data au misimbazi kadhaa ili asuke, umpigie simu umpe maneno mazuri ya uongo na ukweli, umpeleke date mahali, mnywe, umweke begani ukampanue mapaja?
unaniuliza mimi tena?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nisemeje sasa?
humu tumejaa madomo zege mkuu, zingatia outings na vijizawadi.Kwahiyo hakuna anaenipa hata mbinu ya kumfanya aje mahali nitakapomuhitaji tukutane ?! Maana tukikutana sehemu ya Siri lolote linaweza kutokea
Mkuu nimekula sana wadada kwa mbinu ya wao kuja kupika...humu tumejaa madomo zege mkuu, zingatia outings na vijizawadi.
Akiwa comfortable atakuja kwa muda wake, jitahidi umpe comfortability atakuja.Ndugu wanajf, naomba tupeane ujuzi, Kuna binti Moja nimetokea kumpenda, nimemwambia kuwa namuelewa nae akakubali ila shida ninapomwambia swala la kummega ananipa kalenda daily.
Naomba munipe ujuzi na mbinu ya kumshawishi huyu binti ili nimle.
Naomba michango yenu tafadhali
Mwaga NOTI Wewe acha maneno mengi mwaga NOTI hayo mapaja atakuletea mwenyewe umfunue, muhudumu ongeza nyingineUkute umemtongoza, kakubali tu, hujafanya lolote na tayari unamuita 'ghetto'.
Umemuhonga hata kakifurushi ka data au misimbazi kadhaa ili asuke, umpigie simu umpe maneno mazuri ya uongo na ukweli, umpeleke date mahali, mnywe, umweke begani ukampanue mapaja?
Fanya hvo now sio unachatika humu...Shukrani mkuu