Mbinu gani nitumie kumnasa binti anayenisumbua?

Mbinu gani nitumie kumnasa binti anayenisumbua?

If she's amazing, she won't be easy. If she's easy, she won't be amazing. If she's worth it, you wont give up. If you give up, you're not worthy. ... Truth is, everybody is going to hurt you, you just gotta find the ones worth suffering for.
 
Hao ni njaa kali wa vyuoni ila ke anaejielewa haji kama zuchu.
Sio njaa kali..
Unajua mdada unapotikea kumwambia kuwa hajui kupika how they feels...

Hivyo mi na take kama advantage
Alafu kama yeye aji kama zuchu hivi anajua mi ni nani
images (11).jpeg
 
Kata mawasiliano na onyesha kwamba humtaki Tena, akikuuliza vipi, sema uko busy na yeye hajali anakupotezea muda wako… baada ya hapo usimfuatilie Tena hata mwezi hivi… ikitokea umekutana naye barabarani, hata salaam usitoe, onyesha hasira Fulani hivi feki, lazima atajirudi tu Kama na yeye anahisia na wewe na siku ukikupa miadi- utamalizia tu bila ajizi…
 
Mbinu yangu ni ya kikax inabidi uwe mgumu kama ni mlamba lips hutaiweza.
Kwanza usipende kurudiarudia kila siku kubembeleza kitu kimoja, eleza mara moja tu akiwa hataki usibembeleze sana wala usionyeshe kukereka kisa amekataa heshimu maamuzi yake.

Endelea na stori zingine akishagundua we siyo mtu wa kubembeleza sana hatarudia tena kupuuza unachomueleza ataanza kuzingatia kila unachomwambia.

Onyo! Mbinu hii ni hulka unayozaliwa nayo ukiiga inabidi uwe mvumilivu, faida zake ni kuwa hautapigwa hela kizembe, ila ukibembeleza sana lazima akuchekeche na unachotaka unaweza usipate vilevile si umeshamuonyesha udhaifu
 
Ndugu wanajf, naomba tupeane ujuzi, Kuna binti Moja nimetokea kumpenda, nimemwambia kuwa namuelewa nae akakubali ila shida ninapomwambia swala la kummega ananipa kalenda daily.
Naomba munipe ujuzi na mbinu ya kumshawishi huyu binti ili nimle.
Naomba michango yenu tafadhali
Tafuta hela..
 
Mi kwenye mambo ya mapenzi kiukweli huwa situmii nguvu kuubwa kiufupi huwa kama nampenda mwanamke basi ntamwambia mara moja tu akikubal sawa na akikataa huwa silazimishi kabsa ila nakata tu mawasiliano nae,

Kuhus kula mzigo hilo ndo huwa hainiumizi kichwa kabsa huwa nafunguka tu direct akikubal sawa akileta kona kona nakata mawasiliano,

Kutaneni na wanawake wanaojielewa hawaumizagi vichwa Acheni kupenda Wanawake maskini tegemezi na wasio na Kazi....mara nyingi huwa wanapenda drama na hii husababishwa na kuwa na muda mwingi wa bure ambao huutumia kufanya upumbavu,

Hawanaga misimamo leo atasem anakupenda kesho akitokea sponsa mwingne hisia zinahama anaanza kula pesa za mwingne wew unaonekana huna maana,

Nakusihi ili kupunguza stress achana na huyo mwanamke na tafuta aidha mwanamke mwenye pesa au kazi,... hao habari ya kuyumbishana kweny vitu vidogo hawana wenyew kama ni ndio basi ni ndio na kama sio basi ni sio, Acha maskini(wanawake wasio na kazi na tegemezi) wapendwe na wanaume wasiojielewa watawezana tabia, ila wewe kuwa na standard na Limit.
 
Kata mawasiliano na onyesha kwamba humtaki Tena, akikuuliza vipi, sema uko busy na yeye hajali anakupotezea muda wako… baada ya hapo usimfuatilie Tena hata mwezi hivi… ikitokea umekutana naye barabarani, hata salaam usitoe, onyesha hasira Fulani hivi feki, lazima atajirudi tu Kama na yeye anahisia na wewe na siku ukikupa miadi- utamalizia tu bila ajizi…
Nimekusona mkuu, asante
 
If she's amazing, she won't be easy. If she's easy, she won't be amazing. If she's worth it, you wont give up. If you give up, you're not worthy. ... Truth is, everybody is going to hurt you, you just gotta find the ones worth suffering for.
Mkuu umepigaje apo
 
Back
Top Bottom