Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ma boss hawajali shida za wafanyakazi zao hawajui kuwa ata morali ya kazi hushukaMimi kipindi nimeajiriwa kwenye kudai hapo nilikuwa sicheki na kima,nilikuwa naomba exactly date aseme ni lini? Na siku ikifika mapema kabisa naulizia changu nikifate saa ngapi!
Kuna wajinga wakaanza ooh utaonekana upo after money,yes nilikuwa after money & nothing more!
Mtihani.....tulishamfuata boss nyumbani kwake usiku....baada ya kupitia ubanda nilikuwa na Shekivuli na Mzee wa Mwira...tukamkuta yuko na mkewe wanakula na sisi tukamwambia mkewe njaa zinatuuma hatujalipwa mshahara tunaomba chakula,,,tulikaribishwa freesh...tukashukuru tukamwambia na kesho tutakuja.Boss anamwambia tu usiwaze kesho
Amtandike huyo bosi ngumi tatu za nguvu...........Kama mda inavyojieleza rafiki yangu anauliza njia nzuri ya kudai haki yake anauhitaji ila boss wake hajamlipa pesa week ya 3 leo toka mwezi umekishwa tunaombeni ushauri
😂😂😂😂Mimi kipindi nimeajiriwa kwenye kudai hapo nilikuwa sicheki na kima,nilikuwa naomba exactly date aseme ni lini? Na siku ikifika mapema kabisa naulizia changu nikifate saa ngapi!
Kuna wajinga wakaanza ooh utaonekana upo after money,yes nilikuwa after money & nothing more!
Mtihani.....tulishamfuata boss nyumbani kwake usiku....baada ya kupitia ubanda nilikuwa na Shekivuli na Mzee wa Mwira...tukamkuta yuko na mkewe wanakula na sisi tukamwambia mkewe njaa zinatuuma hatujalipwa mshahara tunaomba chakula,,,tulikaribishwa freesh...tukashukuru tukamwambia na kesho tutakuja.
Asubuhi yake tulilipwa.
Hawa jamaa zangu nimepotezana nao miaka mingi sana.