GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kila pale Mechi ya Yanga SC na Simba SC ikikaribia tu ni lazima Klabu ya Yanga itaibuka na Kumtahadharisha Mwamuzi ( Referee )
Kitendo kilichofanywa leo na Yanga SC cha Kumkataa Mwamuzi Ahmed Aragije si tu ni cha Kishamba bali pia ni cha Kipuuzi (Kipumbavu) sana.
Na bahati nzuri ukiyasikiliza Madai ya Yanga SC utagundua kuwa ni ya Watu wenye Mapungufu ya Akili na nasikitika kuona Mashabiki wa Yanga SC wanaliunga hili mkono na Kuuamini Uongozi wao.
Mwamuzi (Referee) Kuchezesha Michezo mfululizo ya ngazi fulani Kimashindano wala si tatizo kwani kuna Waamuzi wa EPL hupangwa hiyo na hata Mwamuzi aliyechezesha Mechi ya Simba SC na Kaizer Chiefs alipangwa tena katika Michezo mfululizo iliyofuata tena na CAF na hakuna tatizo alilokuwa nalo wala Timu iliyolalamika.
Ukweli ni kwamba Yanga SC wameshagundua kuwa Safari hii wanaenda Kufungwa Kimchezo na Simba SC huko Kigoma katika Fainali ya ASFC hivyo wamekuja na hili kama sehemu ya Kujihami na Kutengeneza sababu ya Kiutetezi kwa Mashabiki wao.
Natoa pongezi nyingi kwa Kiongozi wa Waamuzi (Referees) Soud Abxi aliyetoka Kuzungumza hivi punde tu na Wasafi FM ( Sports Court) ambaye amesema kuwa Mwamuzi huyu hatobadilishwa kama Yanga SC wanavyotaka na kwamba Wao kwa sasa ndiyo wameona ni Mwamuzi aliyefanya vizuri kuliko wengineo.
Tunajua kuwa hii ni Janja ya Yanga SC kwa kutaka kumfanya Mwamuzi Ahmed Aragije apandwe na Presha pia awaogope Yanga SC na achezeshe Fainali hiyo kwa Hofu Kubwa aiharibu Mechi au awapendelee wao na washinde.
Yanga SC haina budi sasa kuachana na huu Upuuzi (Upumbavu) wa kupenda Kulalamika na kutaka Kubebwa na Kudekezwa kwani nayo sasa inaenda Kushriki Michuano ya Kimataifa ambako huko Waamuzi wote watakuwa wanapangwa na CAF na huenda nao wakakutana Mpangilio kama huu wa Waamuzi (Referees) je, watakuwa wanaigomea CAF na Kuwashurutisha wawabadilishie?
Kinachoshangaza zaidi kwa takribani Wiki Mbili sasa Mashabiki wa Yanga SC na mpaka kupitia Viongozi wao Waandamizi na Wasemaji wao Bumbuli na Nugaz hadi Viongozi wa Matawi wamekuwa wakitamba katika Vyombo vya Habari kuwa wataendelea tu Kuwafunga Simba SC sasa iweje leo hii tena Yanga SC wanaanza Kuogopa, Kujihami na Kumlalamikia Mwamuzi mpaka kufikia hatua ya Kuishurutisha TFF imbadilishe huyu (huyo) Mwamuzi (Referee ) Ahmed Aragije kutokea huko Mkoani Manyara?
Na Ushamba na Upuuzi wa Yanga SC kupitia Wasemaji wao ni kwamba wamehojiwa kwanini hawamtaki huyu Mwamuzi ( Referee ) Ahmed Aragije hawasemi kama katika Mechi alizoichezesha Simba SC aliipendelea (aliibeba) bali Hoja yao ni kwamba kwanini achezeshe Mechi tu za Simba SC.
Hapo hapo kwa Unafiki wao Yanga SC nao wakisahau kuwa katika Ratiba yao ya Ligi Kuu ya VPL iliyomalizika hivi karibuni wao (Yanga SC ) walipangiwa Mechi Sita (6) Mfululizo kuchezea Uwanja wa Mkapa ila si Simba SC au Vilabu vingine au hata wao Wenyewe Yanga SC walilalamika Kupsndelewa lakini la Mwamuzi wa Fainali ya ASFC huko Mkoani Kigoma ndiyo wameliona na kuwagusa.
Mpeni Filimbi Mzee Mpili ili aichezeshe.