sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
Ndivyo hali ilivyo kwa wengi wanaotwgemewa, Usidhani ya kwamba ukisaidia basi ndugu hufurahi, baadhi hujenga picha ya kwamba unawanyanyasa kwasababu wewe ndie mtoaji.
Pia ukikata msaada kabisa tegemea vituko zaidi maana utaonekan ahuna ushirikiano.
Haya mambo yanatokea sana kwenye koo ambazo huishi kwa kushirikiana na hali hii inawalenga sana wale wenye uwezo katika koo ambazo uchumi ni janga.