A man from Island
JF-Expert Member
- Aug 13, 2020
- 606
- 1,392
Hajitengi Kwa Maana Mbaya, Bali Unakaa Nao Mbari Lakin Kati Matukio Maalum Unafika, Kama Magonjwa, Misiba, Sherehe Na Vikao Unakuwepo But Unakua Na Time Zako.Na siku ukifirisika uendelee na msimamo huohuo wakujitenga nao.
Huwezi kujitenga na jamii kisa tu vijisenti,
Tujifunze kwa waliokuwa na uwezo kama marehemu Ruge Mutahaba,licha ya uwezo aliokuwa nao lakini matibabu yalimshinda waliomchangia wapo masikini kabisa ili kuokoa maisha yake.
Ndugu zangu hasa wafanyakazi mkisha miliki gari na kujenga nyumba huwa mnajiweka kwenye kundi la matajiri jambo ambalo sio kweli.
Ni vema wenye tabia za mleta mada na wanaofanana naye wajitathimini vizuri.