sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
Dawa Ya Ndugu Ni Kujitenga Nao, Halaf Unakua Unakuja Kwenye Matukio Maalum Tu.Ndivyo hali ilivyo kwa wengi wanaotwgemewa, Usidhani ya kwamba ukisaidia basi ndugu hufurahi, baadhi hujenga picha ya kwamba unawanyanyasa kwasababu wewe ndie mtoaji.
Pia ukikata msaada kabisa tegemea vituko zaidi maana utaonekan ahuna ushirikiano.
Haya mambo yanatokea sana kwenye koo ambazo huishi kwa kushirikiana na hali hii inawalenga sana wale wenye uwezo katika koo ambazo uchumi ni janga.
duh!!!Endelea na ndugu tu .....utakuja kujua kuwa kila MTU kazaliwa kwa mpango wake na undugu ni dhana tu....
Unarudi kwenye matukio maalumu ila sio msimu was likizo ya lazima Kama Corona![emoji23][emoji23][emoji1787]Dawa Ya Ndugu Ni Kujitenga Nao, Halaf Unakua Unakuja Kwenye Matukio Maalum Tu.
Na siku ukifirisika uendelee na msimamo huohuo wakujitenga nao.Dawa Ya Ndugu Ni Kujitenga Nao, Halaf Unakua Unakuja Kwenye Matukio Maalum Tu.
Ukipata maradhi ya kukuweka kitandani kwa muda mrefu au ulemavu ,ndio utajua umuhimu wa kuishi vizuri na ndugu zako na pia utajifunza kuwa hela zako sio kila kitu.Achana na ndugu. Weka hiyo pesa benki kisha mwisho wa mwaka kanunue kiwanja kujipongeza
Ndivyo hali ilivyo kwa wengi wanaotwgemewa, Usidhani ya kwamba ukisaidia basi ndugu hufurahi, baadhi hujenga picha ya kwamba unawanyanyasa kwasababu wewe ndie mtoaji.
Pia ukikata msaada kabisa tegemea vituko zaidi maana utaonekan ahuna ushirikiano.
Haya mambo yanatokea sana kwenye koo ambazo huishi kwa kushirikiana na hali hii inawalenga sana wale wenye uwezo katika koo ambazo uchumi ni janga.
[/QUOT
ndugu lawama mkuu ukiwaendekeza utajuta we fanya yako huwezi kumfuraisha kila mtu dunia hii na ukifa watakuzika tu wala usiogope
Ishi kwa kuwaza kuumwa Kama utatoboa. Waafrika tuna extended family utahudumia Kijiji bado watakufitini tu. Shikana na ndugu wa tumbo moja tu ( ndugu wa damu tu)Ukipata maradhi ya kukuweka kitandani kwa muda mrefu au ulemavu ,ndio utajua umuhimu wa kuishi vizuri na ndugu zako na pia utajifunza kuwa hela zako sio kila kitu.
Haujui Unachokiandika Lait Kama Ndugu Wangelikua Wanabadishwa, Ningekugeia Ndugu Zangu Halaf Ukaona Moto Wao.Na siku ukifirisika uendelee na msimamo huohuo wakujitenga nao.
Huwezi kujitenga na jamii kisa tu vijisenti,
Tujifunze kwa waliokuwa na uwezo kama marehemu Ruge Mutahaba,licha ya uwezo aliokuwa nao lakini matibabu yalimshinda waliomchangia wapo masikini kabisa ili kuokoa maisha yake.
Ndugu zangu hasa wafanyakazi mkisha miliki gari na kujenga nyumba huwa mnajiweka kwenye kundi la matajiri jambo ambalo sio kweli.
Ni vema wenye tabia za mleta mada na wanaofanana naye wajitathimini vizuri.
Ndugu Wafanyie Mema Yote, Wajari Kivyovyote Lakin Siku Ukiishiwa Au Ukapata Misala, Hapo Ndo Utajua Ndugu Ni Watu Wa Namna Gani!Na siku ukifirisika uendelee na msimamo huohuo wakujitenga nao.
Huwezi kujitenga na jamii kisa tu vijisenti,
Tujifunze kwa waliokuwa na uwezo kama marehemu Ruge Mutahaba,licha ya uwezo aliokuwa nao lakini matibabu yalimshinda waliomchangia wapo masikini kabisa ili kuokoa maisha yake.
Ndugu zangu hasa wafanyakazi mkisha miliki gari na kujenga nyumba huwa mnajiweka kwenye kundi la matajiri jambo ambalo sio kweli.
Ni vema wenye tabia za mleta mada na wanaofanana naye wajitathimini vizuri.
Ninyi Mlio Na Ndugu Wema Ndo Mnaona Huu Uzi Niwa Kipuuz Ila Sis Tunaoishi Na Ndugu Wenye Vinasaba Vya Kishetani, Tunaona Mtoa Uzi Yupo Sawa.Kwani unwalisha ? Au mbwembwe tu