Na siku ukifirisika uendelee na msimamo huohuo wakujitenga nao.
Huwezi kujitenga na jamii kisa tu vijisenti,
Tujifunze kwa waliokuwa na uwezo kama marehemu Ruge Mutahaba,licha ya uwezo aliokuwa nao lakini matibabu yalimshinda waliomchangia wapo masikini kabisa ili kuokoa maisha yake.
Ndugu zangu hasa wafanyakazi mkisha miliki gari na kujenga nyumba huwa mnajiweka kwenye kundi la matajiri jambo ambalo sio kweli.
Ni vema wenye tabia za mleta mada na wanaofanana naye wajitathimini vizuri.