Mbinu mbalimbali ambazo hutumiwa na watumishi wa umma, wafanyabiashara nk kuficha utajiri wao

Mbunye ndo yule Mchechuzi? Aisee alitisha saaana
 
Njia nzuri ni kukopa bank.wakihoji unaonesha denilako.lazima wapoteane.

Kukopa benki ni njia nzuri lakini inategemea na kiwango cha mshahara unaopokea, sio mtu unapokea laki 8 kama basic salary halafu umenunua magari ya kutosha tena bei mbaya na mijengo ya maana.

Alitumia njia nzuri ingawa alidhalilika.
Kwa wanawake pia unaweza kujificha kwenye chaka la kuhongwa, unauweka utu rehani ili kuepuka kunyea ndoo....Kwani sh. ngapi?
 
 
Unatisha mnyakyusa wa kutoka usafwani mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…