Mbinu mbalimbali ambazo hutumiwa na watumishi wa umma, wafanyabiashara nk kuficha utajiri wao

Hahahaha[emoji23] humpi hivi hivi utalia kilio kile cha kusaga meno..!
Wanawake majasiri sana, utakuta mke anajua kabisa kuwa bwana wake ni komandoo lakini analeta mchepuko wake ndani ya nyumba.

Swali la uzushi:-
Hivi wahanga hawaumizwagi na mapenzi?
 
Sikuhizi magereza na mahabusu zote Zina vyoo vya sinki.hakuna taabu Kama zamani kunyea ndoo.
 
Wanawake majasiri sana, utakuta mke anajua kabisa kuwa bwana wake ni komandoo lakini analeta mchepuko wake ndani ya nyumba.

Swali la uzushi:-
Hivi wahanga hawaumizwagi na mapenzi?
Mapenzi upofu kaka
 
Kuna kampuni inaitwa ABBY ENVIRONMENT AND AGRICULTURAL SERVICE LTD.
Jamaa huyu yeye anazoa taka mitaa ya Ndugumbi, Msasani Na Kigogo.

Jamaa Ana wafanyakazi zaidi ya 200, hawalipi mshahara kwa wakati, wafanyakazi wake hawana bima za afya licha ya kufanya kazi kwenye mazingira magumu na hatarishi kwa afya zao.

Wafanyakazi wake hawawekewi pesa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii ie NSSF, wafanyakazi wake hawakatwi PAYE na hivyo kuikosesha serikali mapato.

NSSF Tanzania hebu imulikeni kampuni hii yenye makao majuu yake Gongo la Mboto na ofisi Kinondoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…