Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Con Artists on dutyInasikitisha sana
nadhani ni ku scan QR code uone kama taarifa zipo validAlipaswa kusema Nini kifanyike ili watu waweze kutambua tofauti ya risiti ya AI na risiti original
Otherwise watu wataendelea kupigwa tu
Huo ni uzembe kwakweliUnatumaje bila kudhibitisha kama imeingia kwenye account? Kama ni mobile banking slip ina QR codes, kama ni manual slip inabidi isome kwanza
Huko ni kujitakia
Inashangaza, wabongo wana ufala sanaKwani kuna mtu anathibitisha malipo kwa kutumia picha ya reciept na sio muamala????