Jidanganye ujae kwenye mfumoHuu ni uongo, AI haiikubali kufanya edit/changes kwenye financial bills ie invoice, receipts etc. Kwanza mtu utatoa vipi mzigo bila ku confirm pesa imeingia
Ujumbe muhimu kwa wafanyabiashara ni huu: usiamini risiti au screenshot pekee. Thibitisha malipo moja kwa moja kupitia taarifa ya benki, akaunti ya Lipa Namba, au ujumbe rasmi kutoka kwa mtoa huduma kabla ya kumkabidhi mteja bidhaa au huduma.Kama wewe ni mfanyabiashara unayepokea malipo kwa njia za kidigitali (Lipa Namba, Benki, au Mtandao wa Simu), kuwa makini sana usije ukapigwa! 🚨
Kumeibuka mbinu mpya ya utapeli ambapo matapeli wanatumia Akili Mnemba (AI) na programu za kughushi ili kuwapiga wafanyabiashara wanaopokea malipo kwa njia za kidigitali kama vile Lipa Namba au Benki. Mchezo huu mchafu umefichuka hivi karibuni mjini Dar es Salaam baada ya mfanyabiashara mmoja wa huduma za kuagiza bidhaa kuingizwa mkenge na kutapeliwa takribani Tsh. Milioni 47.
Kutokana na kasi ya maendeleo ya teknolojia, matapeli hawa wamegundua mianya mipya ya kutumia udhaifu wa wafanyabiashara wanaoweka imani yao yote kwenye picha za risiti bila kuhakiki akaunti zao.
Mbinu wanayotumia ni ya kijanja lakini yenye hatari kubwa sana.
Hata QR inaweza kughushiwa kirahisi tu, njia pekee ni kuhakiki salio lako kama halijaongezeka usitoe mzigo.nadhani ni ku scan QR code uone kama taarifa zipo valid
Daaah¡Duuuu
Vipi tiketi za mabasi za online ambazo unatumiwa sms tuUnatumaje bila kudhibitisha kama imeingia kwenye account? Kama ni mobile banking slip ina QR codes, kama ni manual slip inabidi isome kwanza
Huko ni kujitakia
Kwamba zina shida gani, kwa nani, mteja au wakala wa bus?Vipi tiketi za mabasi za online ambazo unatumiwa sms tu
Vipi hazi editikiKwamba zina shida gani, kwa nani, mteja au wakala wa bus?
Ajent mpuuzi tu ndio anamkatia mtu tiketi kabla ya kutuma pesa, tofauti na hapo lazima awe mteja wako wa mara kwa mara na unamuamini kwa hadhi yake nauli ya 60k kwake sio kitu cha kukimbia. Tofauti na hapo atume hela kwenye simu ndio wakala afanye booking.
Mfano mimi naweza kukatiwa tiketi hela naenda kumpa stend kwa sababu anajua sina njaa
Kuedit kitu gani?Vipi hazi editiki
Nauli na ninakoendaKuedit kitu gani?
Wewe jamaa sijui unatokea kijiji gani! Kwanza ajent unayemtumia nauli kabla ya tiketi ni mtu unayemuamini na unafanya nane miamala mara kwa mara, huyo ni mwehu mpaka aedit nauli? Pili katika mazingira ambayo huna ajent reliable kwa nini usikate tiketi mwenyewe kwenye mtandao?Nauli na ninakoenda