Mbinu mpya ya Utapeli Mjini: Mfanyabiasha usitume au kukabidhi Mzigo kwa kuangalia Screenshot ya Risiti!

Hii taarifa sidhani kama ina ukweli wowote, yani atapeliwe kizembe hivyo bila kuhakiki kama pesa imeingia kwenye akaunti, katika huu ulimwengu ambao benki tunatembea nazo viganjani.
 
Alipaswa kusema Nini kifanyike ili watu waweze kutambua tofauti ya risiti ya AI na risiti original

Otherwise watu wataendelea kupigwa tu
Social media imejaa watu wanaotafuta followers, likes na trend so wanapenda taharuki kuliko kutoa suluhu cha msingi uende kwenye page yake ili apate followers wengi.

Tupo kipindi cha ajabu sana.
 
Cha kufanya ni kujithibitishia muamala na si kutazama risiti tu.
 
Social media imejaa watu wanaotafuta followers, likes na trend so wanapenda taharuki kuliko kutoa suluhu cha msingi uende kwenye page yake ili apate followers wengi.

Tupo kipindi cha ajabu sana.
Kwa kweli ni mtihani sana
 
Jidanganye ujae kwenye mfumo
Nikuulize labda wewe unajua tusiyoyajua!

Ikiwa simu yangu nayopokelea miamala ina opti ya kupokea ujumbe mfupi,Nina app kama ni bank au simu pesa ya kuangalia kila muamala kabla sijaruhusu order ya mzigo kutoka napigwa pigwaje?
 
Mi sijui
 
Hiyk mbinu inavyoonekana huenda ni lazima uzembe wa muuzaji uhusike..sababu huwez kupokea receipt bila kuhakiki salio kwa njia yoyote ile..iwe sms kama una simbank..au bank kwenyewe
 
Huyo mtoto hapo juu ametaka tu kuuza sura kwenye kioo hana analojua.
Kweli anazingua ,kwasasa kila kitu kipo kiganjani ,unaweza kucheck balance au miamala via Whatsapp ,USSD au app kwenye simu yako hapo hapo unapata na kwa simu banking ukideposit au withdrawal unapata SMS Alerts.
 
Back
Top Bottom