Mbinu nyepesi ya kupunguza gharama za bando ni kufunga unlimited internet nyumbani. Kujinunulia mmoja mmoja ni hasara

Ila upuuzi ni ile pesa ya security deposit miezi miwili …
Na hiyo 115k ina mbps zake
Wa 115k hawezi fanana speed na anayelipa 120/150+
115k speed yake ni 20mbps na 120k speed yake ni 30mbps 150k speed yake ni 50mbps
 
115k speed yake ni 20mbps na 120k speed yake ni 30mbps 150k speed yake ni 50mbps
Kama week 2 zilizopita..Niliambiwa hivyo na security deposit 2 months
115 speed ni 20, 4g only
120 speed 30
150 speed 50
250 speed 100
400 speed 200
600 speed 350…
 
Mfano ukinununua likaisha ukakosa pesa mwezi unaofata haupigwi faini
 
Hii inchi ya hovyo sana wenzetu kenya wanatumia unlimited internet kwa mwezi sh 2000 tu..


Na imepanda juzi baada ya Ruto kuingia madaraka.

Watu wengi wamefunga WiFi majumbani kwao.
Mbon hata hapa Tz unlimited ya ttcl ni 55,000 tu? Hazipishani sana na hiyo 2,000 ya Kenya
 
Spidi ndiyo inafanya bei ziwe tofauti

Internet ya 55000 unapata spidi 10mbs

Internet ya 100000 unapata spidi 20mbs

Hivyo hivyo hadi za juu...inavyoongezeka spidi na hela inaongezwa
Asante sana. Nashukuru
 
Thanks najiunga vipi na vifurushi vya SME?
Unaweza kuungwa kwenye maduka ya Airtel kama una TIN Number & Leseni ya biashara. Kama huna wako washkaji wanaunganisha kwa gharama ndogo (10k).

Mjaribu huyu aliyeniunganisha mimi kama bado anafanya kazi.
0710535327
 
Hii imekaaje, nyumba mtatumia sana internet hasa weekend ambapo wote mpo
 
Umemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…